mshana jr inakuweje hapo?
Halafu mleta mada, hiyo picha hapo nimeitizama kwa jicho la kike (kuona zaidi ya kilichomaanishwa)....
Huo mkono ni wa kike au wa kiume? Maana kwa chini naona kobazi zile za kuvaa ndani na aidha sketi au taulo jekundu, kama sio basi mhusika kavaa pensi nyanya msulupweto .....