Mbilikimo Mfupi
JF-Expert Member
- Nov 11, 2015
- 983
- 1,230
hakuna Mnyakyusa fala hivo tuheshimiane....huyo ni MsafwaMnyakyusa toleo la kunguni
Okay, Mimi pia mnyaki ila sikujua kama msafwa hili fuvuhakuna Mnyakyusa fala hivo tuheshimiane....huyo ni Msafwa
Safwa hilo,nimeishi nao najua majina yao ya ukoo,ukiona Mwashamba,Mwalyoyo...ujue MsafwaOkay, Mimi pia mnyaki ila sikujua kama msafwa hili fuvu
Sio Mnyakyusa huyo, huyo ni Mnyiha wa Mbozi hiyo "Mwa" isikuchanganye ,kuna hadi kina Mwazembe ni Wanyiha ila ukiona "Mwa"Mnyakyusa toleo la kunguni
Sio mnyakyusa huyo, mnyihaMnyakyusa toleo la kunguni
Ni wanyiha hao, akina Mwashambwa, mwazembe, mwampashiSafwa hilo,nimeishi nao najua majina yao ya ukoo,ukiona Mwashamba,Mwalyoyo...ujue Msafwa
Ni wanyiha hao, akina Mwashambwa, mwazembe, mwampashi
Acha kuchafua makabila ya watu, hakuna Msafwa 🌈hakuna Mnyakyusa fala hivo tuheshimiane....huyo ni Msafwa
nimechafua wapi?Acha kuchafua makabila ya watu, hakuna Msafwa 🌈
Naona Umeshachanganyikiwa kabisaSafwa hilo,nimeishi nao najua majina yao ya ukoo,ukiona Mwashamba,Mwalyoyo...ujue Msafwa
Kwamba Lukas wa hovyo sababu ni Msafwa, Yule ana laana ndo maana Yuko vile, siyo sababu ni Msafwa.nimechafua wapi?
Shemeji yanguu Kwa hiyo Mimi na Viazi unachagua viazi. Si nilikwambia nitakuletea hadi Mchele wa Mbeya ule hadi majirani waandamane kuja kwako kupata walau chochoteYani tumjadili Lucas Mwashambwa ???? Si bora tujadili hata viazi
Atakua Mnyihahakuna Mnyakyusa fala hivo tuheshimiane....huyo ni Msafwa