Lubuva: Mgombea mmoja UKAWA sawa

Sasa ikitokea wakakorofishana huko mbele hali itakuwaje?
Nchi nyingi tu zinaongozwa na coalition governments (serikali zinazoundwa na muungano wa vyama kadhaa vya siasa). Kenya tu ni mfanno mzuri. Ilibidi vyama vya upinzani viungano kuiondoa KANU madarakani; chama ambacho kilikuwa kinaiongoza nchi hiyo tangu uhuru. Chance za kucollapse kwa coalition hizo ni ndogo sana!
 
Jambo zuri nimkwamba tunazidi kupata kundi la waigizaji wengi,tulikuwa na comedi baadaye tukapata futuhi na sasa ukawa safi sana tunasonga mbele.

Mkuu Umeshaambiwa ukawa wanaweza kumsimamisha mgombea mmoja sasa wewe mbona kama unawashwa masaburi?
 
Makamu Mwenyekiti wa UDP, Issack
Cheyo alivishutumu vyama vikubwa
vya siasa kwa kuwa vyanzo kuvunja
makubaliano ya maadili ya
uchaguzi... “T
 
MwanaDiwani ni Kiakaragosi cha CCM.
Yeye kazi yake ni kutumwa kuja ku paste utumbo alioandaliwa Pale Lumumba
 
Last edited by a moderator:
Mara utasikia Jaji Lubuva ameondolewa kwenye tume ya uchaguzi kwa kusema hiyo kauli..juzi amempinga rais kuwa hawataendesha mchakato wa kupiga kura ya maoni bila uandikishaji mpya wa wapiga kura.leo amesena ukweli kuhusu UKAWA na agenda ya kusimamisha mgombea mmoja kuwa hawajavunja sheria..sitadhangas kusikia amefukuzwa kazi kama yule mkurugenzi wa shirika la habari Malawi alivyofutwa kazi kwa kurusha matangazo ya kampeni wakat Joyce Banda alishaanza kushindwa
 
Sheria inasema hivi kwanza kabla hata ya kuzungumzia msimamo binafsi wa huyu jaji maana hawa watu saa zingine akili zao anajua bwana godi mwenyewe jaji gani anaetoa matamko bila ya kujua sheria zinasemaje nchi za wenzetu customer assistant anajua sheria ya shop floor na haki za mteja sasa kama tuna majaji wanaojitolea kauli tutafika kweli.
Utasemaje sheria aijavunjwa wakati UKAWA ina operate as a single party bila ya kuwa registered bado wanachukua marupurupu kitofauti tofauti. Kuungana kwa sababu ya kushinda single agenda si tatizo kwenye siasa lakini kunapokuwa na muungano ambao ni strategic surely hiko ni chama cha siasa. Hata Labour Party nyingi duniani si taasisi moja bali ni umbrella to many labour unions ndio zinafanya labour party.

Mwelekeo wa UKAWA and its practices ni chama cha siasa without official acknowledgement ni wakati sasa waulizwe hili la kuweka mgombea mmoja mmoja linawezekana vipi bila ya kuwa na sera ya pamoja na ilani ya pamoja? on what basis compromised were reached?

Supposed umoja wa UKAWA umeshinda kiti cha uraisi, na kwakuwa wameingia ubia wa uchaguzi pengine wamepata wabunge wengi kuweza kupitisha sera zao kwanini tusitake kujua ilani yao maana huko mbele wasije wakawaimiza wafuasi wao kutandikana kisa wao wenyewe kwa wenyewe kutoelewana mapema kimsimamo. Na kama wanamsimamo kwanini wasiseme kuwa wamekuwa chama kimoja.

Hizi sheria zipo kwa sababu wajameni hili mambo yafanyike kwa utaratibu unaoeleweka; ndio maana atuendelei au tunafanya mambo shaghala baghala kwa sababu ya kudharau matwaka ya sheria. Sasa kama wanasiasa ndio wafanya checks hawazieshimu sheria wanazotunga tutegemee hawa kweli kuweza kusimamia public conduct with discipline unaweza kuona ni kwanini tunalelea ufisadi au bad practices.

Haya mambo yako wazi kisheria na nje ya sheria kisiasa avi make sense UKAWA waungane kwanza ndio wafanye wanayotaka vinginevyo ni usanii tuu wakutaka kuongeza viongozi kwa kuhofia challenge za wao kwao kwa madhumuni ya ruzuku lakini si ki-sera au kutaka kutusaidia sisi walalahoi huku madongo poromoko.


 

Huyo jamaa wa PPT-MAENDELEO(Sijui maendeleo ya nani) ,Alimuunga mkono Kikwete uchaguzi uliopita kiasi cha kuwaambia wafuasi wake (kama wapo) Kuwa kura zake za urais wampe Kikwete. Sasa sijui kimebadilika kipi mpaka anatoa povu.
 

umesoma hapa ukaelewa?

"Wanaposema katika wilaya fulani wanasimamisha mgombea wa chama fulani hawaundi chama, ni kwamba pale wanaachia chama fulani, wanakiunga mkono kwa hivyo hapo sheria inaruhusu kabisa," alisema Jaji Lubuva na kuongeza:
 
Mm toka Mzee Lubuva ashupalie kupiga kura kwa dijitali naona kabisa hataki kuibeba CCM kwenye uchaguzi ujao!

Toka Lubuva asisitize uchaguzi ujao lzm kwanza wapiga kura waandikishwe na daftari liboreshwe nina imani nae sana!

Na hii ya jana kuhusu UKAWA ina nipa imani kwake zaidi!Katiba mpya ikija TUME huru ya uchaguzi Jaji Lubuva bado anafaa!!
 
umesoma hapa ukaelewa?

"Wanaposema katika wilaya fulani wanasimamisha mgombea wa chama fulani hawaundi chama, ni kwamba pale wanaachia chama fulani, wanakiunga mkono kwa hivyo hapo sheria inaruhusu kabisa," alisema Jaji Lubuva na kuongeza:

Soma na wewe hapo uelewe


Katiba zao sasa ziweke wazi tutazuia wanachama wetu kugombea majimbo fulani kwa sababu ya marafiki zetu.
na waseme wazi kuwa mlengo wao auna dira maalum kwa watanzania hili kutowasumbua watu kufungua matawi huko.

Au wewe unadhani ni nini hasa mantiki ya katiba ya chama au nini maana ya kuwa na wafuasi mahala halafu unaawambia atutagombea huko tutawaachia wenzetu wenye mlengo tofauti?



 

Kwani tatizo liko wapi?
 
Kwani tatizo liko wapi?
Woga tu wa zimwi usilolijua kutoka vyama visivyojua wanafanya nini au hata kama hayo mabadiliko wanayoyasema wanajua yanakuja vipi?

Huwezi kusikia 'Mahatma Gandhi' akidai kuingia msituni wakati keshajiweka yeye yupo tayari kwa lolote kwa njia ya amani.

Wala utukutegemea Savimbi aachane na silaha for his course.

Mara ufisadi, Mara katiba mpya, Mara serikari tatu, Mara tunaungana, Mara wanzazibari wanafanya nini bara kwenye bunge, mara na sisi tunafunguwa matawi yetu kulekule tusio taka nao muungano, mara sera ya majimbo, mara polisi wamefanya hivi, mara ma waraka ya watu wa mungu: all the urgency with no sense of purpose zaidi ya kutaka uongozi.

Anything for popularity without substances za maelezo wanataka kulifanyia nini taifa ni watu hatari kwenye macho ya watanzania wapenda amani atukatai kuna matatizo na tunahitaji marekebisho lakini surely kutoka kwa watu wanaojua wanataka kutupeleka wapi na wanambinu gani hiko ndio cha muhimu kwa kutushawishi kuliko chochote.

Sasa wewe nikuulize sababu za muungano wao unazijua zaidi ya kusema wanapambana na CCM and then what?
 
WEngine humu kama wametumwa nawasimiyu nanyie mnaongea nyie endeleeni kulinda Nyumba ya wa vijisenti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…