babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,126
- 16,034
no ni mtusi,na ndio aliyeongoza mapigano ya rwanda 1994 na 1998 hapo congo,ni jamaa ambaye kagame anamwamini sana kwenye mambo ya jeshi,wameshageukana sasa...kwani Kayumba Nyamwasa ni Mhutu?
no ni mtusi,na ndio aliyeongoza mapigano ya rwanda 1994 na 1998 hapo congo,ni jamaa ambaye kagame anamwamini sana kwenye mambo ya jeshi,wameshageukana sasa.
Matatizo ya Rwanda hayatakwisha ,mpaka kuwe na demokrasia halisi.
Watutsi wameidominate nchi hiyo miaka na miaka.
Tukumbuke karibu 85% ya wananchi wa Rwanda ni WaHutu.
ndio na jamaa pia kwenye harakati zake za kutoroka kapitia hapohapo uganda na jamaa wamesema hawajamuona ila inteligensia wao wanahisi kapita mafichoni mpaka kenya kisha south africa,kumbuka pia kayumba na mshauri wa museveni,wote wametajwa kuwa nyuma ya chama cha upinzani green party dhidi ya kagame.kuna mchezo mchafu unajificha hapo.Kagame kumbuka alifall out na Mu7 though wote walikuwa pamoja kwenye harakati zao
kinachoshangaza mbona wapiganaji wengi waliokua mstari wa mbele RPF wanakimbia na kwenda mafichoni?Kila lenyee mwanzo lina mwisho, inawezekana huu ni mwanzo wa mwisho wa Kagame. Kagame mwenyewe ana kinga kutokana na kuwa ni Rais, lakini yuko kwenye list ya wanaotakiwa kuadhibiwa kutokana na mauaji ya halaiki. Kuna watu kama elfu 20,000 hivi walichinjwa kwa order yake, nasikia hata akitoa order watu wauawe huwa anachekelea, so for sure kuna watu wanachuki. Twin grenade attack is not something which can suprise anyone who knows the history of Rwanda.
Kila lenyee mwanzo lina mwisho, inawezekana huu ni mwanzo wa mwisho wa Kagame. Kagame mwenyewe ana kinga kutokana na kuwa ni Rais, lakini yuko kwenye list ya wanaotakiwa kuadhibiwa kutokana na mauaji ya halaiki. Kuna watu kama elfu 20,000 hivi walichinjwa kwa order yake, nasikia hata akitoa order watu wauawe huwa anachekelea, so for sure kuna watu wanachuki. Twin grenade attack is not something which can suprise anyone who knows the history of Rwanda.
...anatakiwa na nani?
Mahakama ya mauaji ya halaiki ya Rwanda. Arusha. Lakini kulikuwa na watu wengi ndani ya mahakama, ikiwa ni pamoja na Mama De Ponte, ambao walikuwa wanasema waanze chini kwanza, maana wasingeweza kuwafikisha wengi mahakamani bila support ya serikali ya Rwanda, walihitaji sana support ya serikali. Ilitakiwa kuwa baada ya kumaliza hatua ya kwanza, hatua ya pili ilikuwa ni kuwashughulikia waliaoserikalini.
Lakini wao excuse yao ni kuwa walikuwa wanua ili kusimamisha mauaji, which is stupid excuse.
thats a big problem,tatizo jamaa ana trick kali sana,na hao wamarekani na uingereza si wako nyuma yake wanamlinda,yule mama del ponte alipotaka jamaa aletwe mahakamani na watu wake jamaa akacomplain kwamba yule mama hamuamini ni genocidaire denial,mama akapigwa chini,wajerumani na wafaransa waliendelea kufatilia ile arrest warrant ya maofisa wake,jamaa akavunja uhusiano wa kibalozi,si umeona france wamelainika sasa wamegeuza kibao wanamuunga mkono na kuanzia wamemkamata yule mjane mama habyarimana ambaye france walimwokoa kule na kumlinda kwa miaka 15,sasa hivi wamemnyanganya kila kitu na vilevile hawamtaki france na wanataka wamrudishe rwanda akashtakiwe.And guess what? it is because of these kind of arguments za mama Del Ponte..that she lost her job! I think she is still bitter about the whole THING but well, politics is the art of compromise!
Mahakama ya mauaji ya halaiki ya Rwanda. Arusha. Lakini kulikuwa na watu wengi ndani ya mahakama, ikiwa ni pamoja na Mama De Ponte, ambao walikuwa wanasema waanze chini kwanza, maana wasingeweza kuwafikisha wengi mahakamani bila support ya serikali ya Rwanda, walihitaji sana support ya serikali. Ilitakiwa kuwa baada ya kumaliza hatua ya kwanza, hatua ya pili ilikuwa ni kuwashughulikia waliaoserikalini.
Lakini wao excuse yao ni kuwa walikuwa wanua ili kusimamisha mauaji, which is stupid excuse.
...kagame & RPF was there to fight those evils Interahamwe walioua almost a milion tutsi,hizo consiracy theory za kumuunganisha Kagame na hizo evils forces ni upumbavu wa hali ya juu na hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuamini huo ujinga,na hakujawahi kuwa na official warrant or any hearing huko Arusha kuhusu Kagame,lakini as the days goes on ukweli unazidi kujitokeza ndio maana sasa hata hao kina Habyarimana wamegeukwa na France,na Kinshasa wamerudisha ubalozi na Kagame na kushirikiana naye kijeshi na hizo story za kagame kupigana Congo kwa ajiri ya madini ni story nyingine za FDLR ambazo hazina ukweli wowote,Kagame hana shida na hana haja ya kusikiliza story za watu waliokuwa kimya wakati walipokuwa wanauliwa kama kuku,hawa watu wamekuwa wakimbizi tangu 1959 na wameuliwa zaidi ya milioni moja kwa sababu ni watutsi,the only guy aliyekuwa anasema against evils za serikali ya Rwanda ni Nyerere tuu viongozi wanafiki wote majirani walikuwa kimya.
thats a big problem,tatizo jamaa ana trick kali sana,na hao wamarekani na uingereza si wako nyuma yake wanamlinda,yule mama del ponte alipotaka jamaa aletwe mahakamani na watu wake jamaa akacomplain kwamba yule mama hamuamini ni genocidaire denial,mama akapigwa chini,wajerumani na wafaransa waliendelea kufatilia ile arrest warrant ya maofisa wake,jamaa akavunja uhusiano wa kibalozi,si umeona france wamelainika sasa wamegeuza kibao wanamuunga mkono na kuanzia wamemkamata yule mjane mama habyarimana ambaye france walimwokoa kule na kumlinda kwa miaka 15,sasa hivi wamemnyanganya kila kitu na vilevile hawamtaki france na wanataka wamrudishe rwanda akashtakiwe.
licha ya hivyo lakini haikuwa sababu ya wao kuchinja watu pia,ukifatilia vizuri history jamaa walipokua wanaadvance kigali waliua sana,si watusi,si wahutu yaani ilikua ni fagia fagia,na problem ingine ni kwamba mauaji yaliendelea kwa kasi kubwa hata baada ya RPF kuwa madarakani,ndiyo hapo inapokuja kesi ya kumuona kagame kahusika vipi,mpaka inavyosemekana ni kwamba jamaa alikuwa anataka kuweka lever ya minority na majority iwe same percent,pia ukiangalia hili kafanikiwa kiasi.Ni ngumu saana kujua nani yuko sahihi kwa hili, Kinachojulikana RPF ndio waliozuia yale mauaji ya halaiki kitu ambacho UN, EU Umoja wa Africa na hata majirani za Rwanda kama Tanzania na Uganda walikuwa wanajua fika kwamba kuna mauwaji yanaendelea,ambao hatujawahi kushuhudia nini hasa kilitokea ni rahisi saana kuwalaumu RPF kwamba hata wao walihusika katika hayo mauwaji, hata tukitafakari kwa kina katika vita vyovyote hata vinavyopiganwa na marekani kunakuwaga na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ndo maana hata mpaka leo kuna wnajeshi wa marekani wameshtakiwa kwa uhalifu wa kivita huko Iraq,ikumbukwe RPF kwa kipindi hicho was a rebal group na nikwanini msijiulize kama wasingejitahidi kuteka Kigali na watu wangapi wangeuwawa?????
ni tatizo kubwa sana,ni kama sasa baadae uje umuhusishe mama salma kwenye makosa ya mumewe umshtaki kisa alikua anaongezana na mumewe wakati yuko madarakani,angalia sasa jamaa walivyo pumbavu wamefurahia kweli hatua ya yule mama kuwekwa kizuizini.Mkuu you are damn right, mkono mtupu haulambwi. Rwanda akiamua wale jamaa wasichimbe madini Congo hawatachimba. As long as they give Kagame what he wants, the can enjoy utajiri wa DRC. Otherwise Kagame atamrudisha NKundabwatare.
I wonder mwanamke aliyekimbia nchi siku tatu za mwanzo alihusika vipi na genocide iliyoendelea kwa siku 97