manking
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 1,306
- 316
Wadau tusiwe wasahaulifu ndg. Lowassa siku anahama CCM hakutumia busara aliongea maneno mengi, namnukuu
' CCM hawajanitendea haki demokrasia imebakwa'
Swali kumbe:
Wajumbe wa kamati kuu ni wabakaji au vibaka? la hasha! Ni watu wenye akili na maono. Wewe hukukidhi vigezo ndani ya chama.
Jiheshimu utaheshimika usipojiheshimu utadharaulika, ulijitakia mwenyewe usilalamike. Ungetoka bila matusi hapakuwa na shida ndio demokrasia hiyo.