Lowassa vs MwanaHalisi

Tuko pamoja kaka kumbe hata kichwa cha habari wiki hii kimemtaja tena lowasa,na hilo ndio hata mimi nimesema hapa.hio habari ilikuwa ina nia ya kuchonganisha kt ya low na jk
 


Hutakiwi kushangaa Huyo Lowasa anapenda sana kuandikwa kwenye Media. Ni kwamba tu sasa hivi unashangaa sababu upepoumebadilika. Kabala ya richmosnd allikuwa anasifiwa wa kuonekana kwenye TV akiwakoromea wakuu wa wilaya. Huo ndo usanii wake. Je hukuona tatizo kwenye hilo kiongozi amabye anaweza kufanya kazi kimya kimya bila kutaa kuonekna kwenye vyombo vya habari. yaani tatizo analoweza kumunadikia mkuu wa wilaya doezo au memo yeye alikuwa kwenye TV.


Sasa kwa style hiyo hiyo upepo umebadilika so Usishangae Lowasa Like the media but he might not like the way he is represented. Ndio maana una wachovu wanadhani Lowasa ni bora kuliko Pinda.

What goes arround comes arruound
 

nimeshafikiria sana,isipokuwa natamani ifike siku moja nyota iitwe nyota kwa sifa zake,ung'avu wake na weredi wake,vivo hivyo kwa jua,mwezi,ng'ombe hata mbuzi,nachelea kufanya exageration kwa nyota kuuita jua na kuwasadikisha ama kujisadikisha wenyewe kuwa nyota ni jua,tuliaminishwa kipindi kile kuwa sumaye alikuwa bepari n.k, leo hii ubepari wake umeenda wapi? masikini ya mungu baada ya kuenguliwa tu kwenye kura za maoni ccm,sumaye amebaki kuwa mtu safi na waziri mkuu mstaafu mwenye rekodi adimu, baada yake tukapelekwa kwa dk.salim,eti ni mwarabu,hizbu,si raia na alishiriki kumuua mzee karume........hayo yalipita,ikawa kimya,2015 ikipita ukweli kuhusu richmond utajulikana na hili la lowasa litakuwa kimyaaaaaaaaaaaaa,swali:inamaana lowasa ndiye alikuwa final say wa serikali? kama siyo kwa nini aliwajibika peke yake tena kwa ajili ya "manufaa" na kukilinda chama chake?????????don't you guys thiiiiiiink??? open your eyes guys. acheni hizo bana
 

Umesahau moja kuwa Bunge lililopita walikuwa wanamwita ni mke wa nani vile!!!!!!!! na wewe ni namba mbili. mimi sijasema kuwa wewe ni peteerr ila mnafanana
 
Usijaribu kupoteza mada. Lowassa ni fisadi na Kubenea anajua hivyo. Tena wewe Nchimbi J unayepotosha ukweli, ndiye uliyesema siku ile Kubenea alipomwagiwa tindikari, kwamba "bora angepofuka." Suala la Kubenea kuwa hakutoa ushahidi mahakamani si la kweli. Kubenea alikwenda mahakamano na akahojiwa mara kadhaa. Lakini tunajua waliotumwa kumwagia tindikali mmoja wapo ni shemeji wa Lowassa. Muache kusingizia kuwa alichua mke wa mtu.Je, mke wa mtu anatafutwa kwenye chumba cha habari?
 
haya mambo ya kusingiziana ni hatari sana ni wapi mimi nilisema kuwa kubenea angepofuka kamanda au unajaribu kuleta propaganda za kuuza cement kwa shilingi elfu tano lwa mfuko.
 
Nini kipimo cha mtu anaependa kuandikwa kwenye vyombo vya habari na unawezaje kufikisha maagizo kwa wananchi bila kutumia vyombo v ya habari.Ni kweli Lowasa n bora kuliko Pinda kwa kuwa anasimamia na tunajuia nini kafanya lakini pinda kafanya nini mpaka sasa na kasimamia nini zaidi ya kulia lia bungeni.
 
wee mpuuzi,idiot...
 
wee mpuuzi,idiot...
Naweza kuwa idiot lakini ukweli hata leo mmejionea akijaribu tena kutoa hadithi za mwanahalisi ambazo zinaongelea mpaka anachowaza kanakwamba wao ni Mungu wanajua mipango na mambo yote ya Lowasa mpaka alichokuwa akiwaza huko kwa Joshua.......................huku ni kuingilia haki yake ya kuabudu na kwa kweli ni kutomtendea haki hata kidogo.
 

Hivi we unadhani leadership ni kupiga kelele. Unleass tunaonglea leadership wa makuli bandarini. Lowasa hana ubora wowowte wa vigezo na sifa za leaders au managers katika karne hii.

Hakuna maaagizo Lowasa aliyokuwa anatumia kifikisha kwa wananchi yeye kwenye azaira zake mikoani alikuwa ni kuwaaaibisha na kuwakaripia ma DC. na ma RC Kwa management style ileni very low. yeye alijua weakness ya wananchi anajua akimfokkea DC au RC anapanda chat.

But yeye kaama PM kufoka foka kwake alitakiwa afoke kwa maandishi na madokezo . Kiofisi na profesionaly ina sound. Sio danganya toto wananchi kujifanya yuko seroius kumbe yeye ana Richmond.

Kuna mtu mmoja alisema eti ma DC na ma RCwalikuwa wanamowogopa . Kuna tofauti ya Kuogopwa na Kuheshimika. Pinda ana hesmikika zaidi ya Lowasa. Na leader yeyote amabye anaogopwa lakini haeshimiki ni kai bure. Same sa JK........ heshima yake inazidi kushuka.

Mkuu pekua peua na google leadership ana managers qualities ujue kuwa Lowasa as Jk ni watu wa media tu.
 


Duh, hujaongelea Vodacom!!!!! Sasa kama hata hili unasahau sijui utakumbuka lipi we mwanaume wa Songea?


Naamini kwamba hapo juu itakukumbusha.... ila na mimi nimesema siamini kamaumetumwa na kaka yako Emmanuel, sasa na hilo hujaelewa pia?
 
Umesahau moja kuwa Bunge lililopita walikuwa wanamwita ni mke wa nani vile!!!!!!!! na wewe ni namba mbili. mimi sijasema kuwa wewe ni peteerr ila mnafanana

hahaaa.... asije akaingia anga zangu.... maana nasikia jamaa aligombana hadi na mrs wa jamaa kisa alinogewa akajisahau
 
hahaaa.... asije akaingia anga zangu.... maana nasikia jamaa aligombana hadi na mrs wa jamaa kisa alinogewa akajisahau
Kamjaribu kama hatakutoa kamasi mpaka ukamsahau mwenzio nyumbani...then uje utupe taarifa kama ni kweli usemayo hapa.
 

bOFYA HAPO JUU UYAJUE MAGAMBA YANAYOZUMGUMZIWA
 
Saafi sana..............Aibu mtu mzima kuumbuliwa kiasi hicho,halafu inaelekea jamaa ni bonge la gamba.Jamaa amekushauri vizuri anzisheni magamba forum,we si unaumia sana nenda jela kwa niaba yao itasaidia pia
 
Hizo pesa alizoanzisha hayo yote kazitoa wapi kama si kwa kuwanyonya watz,hebu peleka ujinga huo kwa magamba wenzio,tena ilibidi afilisiwe vyote hivyo unavyoviongea hapo maana ni vya wtz.ACHA MCHEZO KWENYE MASLAHI YA WTZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…