Lowassa vaa magwanda kuanzia kesho

Lowassa vaa magwanda kuanzia kesho

kamtesh

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
1,395
Reaction score
514
Watu wana muona Mh Lowassa kama mamluki wa CHADEMA. Kwa ushauri wangu, kwa siku zilizobaki, dhihirisha kwamba wewe ni kamanda, na vaa kwanzia kesho mpaka mwisho wa kampeni.

Tunamuona Mbowe kama kawa anatinga kombati yake kila siku, na wewe kama mpeperusha bendera ya CHADEMA, vaa kwa kuonyesha wewe ni CHADEMA na sio mamluki.
 
Kuna sabab za kiufundi kwa nn havai, so usiwaze
 
Watu wana muona Mh Lowassa kama mamluki wa chadema. Kwa ushauli wangu, kwa siku zilizo baki Rais wangu mpendwa dhihilisha kwamba wewe ni kamanda, na vaa combati kwanzia kesho mpaka mwisho wa kampeni.
Tunamiona Mbowe kama kawa anatinga kombati yake kila siku, na wewe kama mpeperusha mbendea, ya chadema vaa kwa kuonyesha wewe ni chadema na sio mamluki.
No, gwanda lina heshima yake jamani! ATALINYEA
 
... anawakilisha nld, nccr, cuf & chadema, itakuwa ni kosa la kiufundi kuvaa gwanda
 
Mkuu, kanzu halimfanyi mtu kuwa Shehe au Padre. Pamoja na kuwa muasisi waCCM, Mwl Nyerere hakuwahi kuvaa nguo za ccm!
 
Lowassa avae gwanda?? Thubutuuuuu..hamjui yuko pale kimaslai binafsi zaidi
 
ANAPEPERUSHA BENDERA ya UKAWA..!!

Ni bora avae kawaida, ila mashati yenye rangi za umoja wa UKAWA zinatosha...

Eg. Nyekundu, nyeupe, blue bahari, etc etc..

Kumbuka ni mgombea URAIS kupitia UKAWA... akivaa gwanda tu, ataonekana ameegemea CHADEMA zaidi...!!! Rais wetu Mh. Lowassa na Babu Duni, wavae rangi hizo nilizotaja hapo juu..!!
 
Kumbuka japokuwa Lowassa anagombea urais kwa kupitia CHADEMA, lakini anawakilisha CUF, NCCR na NLD. Kwa hiyo hatakiwa kuwa kichama fulani zaidi japokuwa yeye ni mgombea wa magwanda.
 
Back
Top Bottom