Lowassa the 5th president

LUBUVA anatumika vibaya, ila waungwana tunafahamu LOWASSA ndiye mshindi.

Kitendo cha mwenyekiti wa NEC kuanza kutangaza zile sehemu MAGUFULI anazoongoza ni mbinu ya kuwakatisha tamaa wanamabadiliko!

Umenena mkuu
 
Maono haya yanaonekana kumwelekea EDWARD LOWASA WA CHADEMA.
lakini kwa mjibu wa maandiko ili kudhibitisha maono ni vizuri kuyasubiri yatimie.
Maana MUNGU hasemi uongo.
Kwa hiyo ni kiasi cha kusubiri na kuona nini kitatokea.
 
jiandaeni wale wana UKAWA na watanzania wote kusherehekea kutangazwa kwa raisi wetu wa awamu ya tano Hon. EDWARD NGOYAI LOWASSA

Ni kwel Lowasa ni Rais ila tofauti yake na Dr Magufuri ni kwamba Wakat Dr Magufuri ni RAIS wa Watanzania Yeye Lowasa ni rais wa MALOFA na WAPUMBAVU.
 
Ni kwel Lowasa ni Rais ila tofauti yake na Dr Magufuri ni kwamba Wakat Dr Magufuri ni RAIS wa Watanzania Yeye Lowasa ni rais wa MALOFA na WAPUMBAVU.

Hayo maneno na kashfa zitakutokea puani, mpaka jtatu uje hapa kuzungumza hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…