Lowassa, Sumaye waunganishiwa makosa ya CCM, Mbowe asisitiza kama yalifanyika ni wote

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
13233012_1105121296218994_790643659249959415_n.jpg

Naona Mbowe ameshashituka kuwa uamuzi wa kubadilii gia angani haukuwa sahihi, sasa anataka kumtosa Lowassa kiana anamtafutia sababu, kweli siasa ni mchezo mchafu
 
Toka aende kwa TB joshwa na muona mbowe anakuja kivingine huenda mapepo yametolewa tumpe mda tutaona.
 
Hiyo ni zuga tu!Ana waswaga hao,ila lengo lake aje,amtaje Rais Mwena Sana,kuwa nae amehusika na kashfa kama Mv Dar,na n.k!angesema atawataja wa CCM peke yake,mngehoji "mbona sumaye na lowasa huwataji?"
 
Wanatafutwa watu hapo soon yule aliyekimbia kwao na Chekacheka watewekwa hadharani
 
Hiyo ni zuga tu!Ana waswaga hao,ila lengo lake aje,amtaje Rais Mwena Sana,kuwa nae amehusika na kashfa kama Mv Dar,na n.k!angesema atawataja wa CCM peke yake,mngehoji "mbona sumaye na lowasa huwataji?"
Wewe unaakili sana Mkuu.
 
Magufuli hawezi kupona kashfa za Barabara na Kivuko Chakavu cha bln 7.9 ~ 8. Ndio maana mpaka leo huwezi kumuona kaenda Wizara ya Ujenzi na Tanroads.
Chama Cha Majipu (CCM)
 
CDM ni Wapiga dili tu hawana jipya. Wameona hao wazee ni liability kwao watawatosa muda c mrefu. Time will tell keep watching.
Madili ya Chama Cha Majipu (CCM)
Escrow
Meli Chakavu
Rada
Kagoda
Meremeta
Richmond/Dowans
Kiwira
Lugumi
EPA
Mabehewa mabovu
Kuuza nyumba za umma
Fidia Samaki wa meli za wachina

Ongezeni wadau...
 
Magufuli hawezi kupona kashfa za Barabara na Kivuko Chakavu cha bln 7.9 ~ 8. Ndio maana mpaka leo huwezi kumuona kaenda Wizara ya Ujenzi na Tanroads.
Chama Cha Majipu (CCM)
Kuna zile bilion 251 zilipotea Kwa kuwalipa makandarasi Hewa , pia aliwagawia Mdogo wake na small house nyumba za Serikali , Kama vipi uunzaji nyumba za Serikali upitiwe upya .
 
Madili ya Chama Cha Majipu (CCM)
Escrow
Meli Chakavu
Rada
Kagoda
Meremeta
Richmond/Dowans
Kiwira
Lugumi
EPA
Mabehewa mabovu
Kuuza nyumba za umma
Fidia Samaki wa meli za wachina

Ongezeni wadau...
Sasa kuna Richmond mpya ya Sukari
 
Madili ya Chama Cha Majipu (CCM)
Escrow
Meli Chakavu
Rada
Kagoda
Meremeta
Richmond/Dowans
Kiwira
Lugumi
EPA
Mabehewa mabovu
Kuuza nyumba za umma
Fidia Samaki wa meli za wachina

Ongezeni wadau...
NSSF , IPTL , ATC , Chenji bunge la katiba , Chenji za pesa za kampeni toka China nk .
 
13233012_1105121296218994_790643659249959415_n.jpg

Naona Mbowe ameshashituka kuwa uamuzi wa kubadilii gia angani haukuwa sahihi, sasa anataka kumtosa Lowassa kiana anamtafutia sababu, kweli siasa ni mchezo mchafu

Nchi hii haitaendelea mpaka watu wenye akili kama zako mfe na kupotea kwenye uso wa dunia. Umeshindwa kumuelewa Mbowe kamaanisha nini? Hii ni aibu kwa jukwaa hili linalojiita home of GT
 
Nchi hii haitaendelea mpaka watu wenye akili kama zako mfe na kupotea kwenye uso wa dunia. Umeshindwa kumuelewa Mbowe kamaanisha nini? Hii ni aibu kwa jukwaa hili linalojiita home of GT

Ameshindwa kuelewa kuwa Freeman A. Mbowe ni mtu genius kweli ktk kucheza na wanasiasa wenye mapungufu makubwa wa chama cha majipu!

Ameshindwa kuelewa huwezi kuuepuka ujinga iwapo utawaita Edward N. Lowassa na Frederick T. Sumaye ni mafisadi bila kuwaacha waliokuwa maboss wao Mkapa na Kikwete!!

Mbowe anawajua CCM kuliko wanavyojijua wao. Anaujua udhaifu wao na wao wanalijua hilo.

Mbowe ndani ya bunge si mzungumzaji sana na ni kwa mara moja moja kusimama kuzungumza aidha kwa kuuliza swali au kuchangia hoja flani.

Na ikitokea akasimama basi anaua kila kitu toka kwa wale jamaa na hata kuzua taharuki huko.

Anawasha moto nyumba yao na kuwaacha wakihangaika kuuzima

Mfano ni ktk hili.....jamaa wanajifanya hawajamwelewa, wanahangaika kuzima moto lakini hauzimiki na unateketeza kila kitu.....ndiyo maana hawampendi huyu jamaa maana ni hatari kweli kweli kwao!!
 
Back
Top Bottom