naliwe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 409
- 985
Baada ya uchaguzi kuisha kwa kushindwa vibaya kwa bwana lusawa zidi ya mpinzani wake JPM kwa sasa kinachooneka ndani ya CDM ni ile hali ya kupotea kwa mvuto wa bwana lowassa ndani ya chama cha CHADEMA.
Kwa sasa mzee anaonekana kama mzigo ambao bado wenye chama wanautafakali ni wapi kwa kuutua.
Na hii inatokana na harakati za mr ziro za kuutafuta ukatibu kwa ghalama yoyote ikiwezekana hata kumchafua mzee ili yeye aonekane anamvuto ndani ya chama.
Pole sana mzee wangu

Last edited by a moderator: