Elections 2015 Lowassa: Sina pesa, hizi nachangiwa na marafiki zangu

Kwani huwajui friends of Lowassa, ambao miongoni mwao wanaongozwa na King maker RA ambaye yumo katika orodha ya Forbes ya the wealthiest persons in the World.

Wengineo ni nyoka mwenye makengeza msaka pesa, mwingine ni yule mama mnunuaji mboga ya shilingi milioni 10 kwa siku na yule mzee wa TICT's ambaye kampuni yake inaweza hadi kuweza kumuingizia zaidi ya shilingi bilioni 1 kwa siku.

Unataka list zaidi?

Nadhani hiyo list inaweza kukupa mwanga na kujua kumbe huyo jamaa kuweza kufungua pazia kwa kutangaza nia ya kuutaka Urais kwa kutumia zaidi ya bilioni 1 ni jambo ambalo ni jepesi mno kwake!

Mkuu unapiga chenga bure

1. Rostam Azizi (wealthiest)
2. Andrew Chenge (nyoka wa makengeza)
3. Anna Tibaijuka (hela za mboga)
4. Nazir Karamagi (TICT,s)
 
Sasa happ ndo ninapochoka wote hao wapo kwenye list ya mafisadi.ivi akipita si itakuwa balaa maana lazima alipe fidia
 
Naomba kuwafahamu kwa majina hao marafiki wa lowassa wanaompa huyu jamaa mapesa mengi hivi ya kuchezea.inaelekea wana roho nzuri sana,maana hata katka siasa za USA hakuna matajiri wanaomwaga pesa kiholela namna hii.

  1. Bernard Membe
  2. Makongoro Nyerere
  3. Stephen Wassira
  4. January Makamba
  5. Mwigulu Nchemba

Hao Tajwa Hapo Juu Ndiyo Wadhamini Wakubwa Wa Team Lowassa.
 
Wadhamini wakubwa ni mimi na wewe ambao tunalipa kodi halafu mafisadi wanaiba kodi zetu then wanamchangia.
 
Mkuu unapiga chenga bure

1. Rostam Azizi (wealthiest)
2. Andrew Chenge (nyoka wa makengeza)
3. Anna Tibaijuka (hela za mboga)
4. Nazir Karamagi (TICT,s)

Watu wanasema ukitaka kujua tabia za mtu angalia rafiki zake. Edo tushamjua kutokana na list hiyo ya rafiki zake.
 
Naomba kuwafahamu kwa majina hao marafiki wa lowassa wanaompa huyu jamaa mapesa mengi hivi ya kuchezea.inaelekea wana roho nzuri sana,maana hata katka siasa za USA hakuna matajiri wanaomwaga pesa kiholela namna hii.

chenge wa kwanza jana kampokea bariadi kampeleka gamboshi
 
Naomba kuwafahamu kwa majina hao marafiki wa lowassa wanaompa huyu jamaa mapesa mengi hivi ya kuchezea.inaelekea wana roho nzuri sana,maana hata katka siasa za USA hakuna matajiri wanaomwaga pesa kiholela namna hii.
Kwa kweli matajiri wanasaidiana na matajiri wenzao,sijui kwanini hawataki kuwasaidia maskini,kuna dogo mmoja ni yatima wa Babati kafukuzwa chuo cha Ualimu Arusha kisa kashindwa kulipa ada na michango mbalimbali ya chuo.Kazunguka kila kona kakosa msaada,lakini kuna matajiri wanatoa tu mapesa kusaidia matajiri wenzao lkn wakiombwa wasaidie hawa maskini wanajifanya hawana hela.Je kweli kuna nia njema hapa kweli?
 
Sasa happ ndo ninapochoka wote hao wapo kwenye list ya mafisadi.ivi akipita si itakuwa balaa maana lazima alipe fidia
Ndiyo maana yake, atalipa 'mkopo' aliopewa na hao wafadhili wake, plus na 'indirect' riba isiyopungua 500%
 
Kila anapochangia...anasema yeye hana pesa ila amechangiwa na marafiki zake.Haya huwa anayazungumza anapokuwa anatoa mchango wake wa fedha nyingi sana kwenye vikundi.

Watanzania hizo ni pesa zenu ambazo zilikuwa zimeibiwa sasa zinarudi na ninacho waomba mzipokee kwa mikono miwili lakini mnajua wp mtatoa kura yenu lakini kama mtaafanya makosa kumpa kura mtu ambaye ameleta pesa kwenu ila apate kura madhala yake ni makubwa sana.

Wafanya biashara ni marafiki zake na hao ndio wanao pambana kumweka madarakani je atawalipa nini akishakuwa rais?[HUYU BWANA NI MNYANG'ANYI MWIZI, ALIWALAZIMISHA WATU WENGI SANA KUWEKEZA KWENYE BIASHARA ZAO, NDO MAANA NI TAJIRI WA KUPINDUKIA LAKINI MALI ZAKE HAZIONEKANI, SO IS JUST TELL THE BUSINESS PARTINERS GIVE ME A CERTAIN AMOUNT.

WATANZANIA MNAOMSHABIKIA JAMBAZI, MUUWAJI, FISADI, MGONJWA NI NANI KAWALOGA? 'I KNOW IS HIM'
SI MLIONA LIPETE LAKE LA MAJINI?????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

YOU WILL CRY MY FRIENDS TANZANIANS UNDER THE MANANGEMENT OF THIS GUY!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Lowassa kila anacho kifanya anasema amechangiwa na marafiki zake, sawa siyo dhambi lakini hawa marafiki wa Lowassa ni akina nani na wana maslahi gani katika kuhakikisha kuwa Lowassa anaenda ikulu?

Na akishaenda ikulu watapata faida gani? lazima tujiulize kwa sababu tunajua rekodi ya uadilifu kwa Lowassa ni sawa na kumtafuta bikra labor.

Sote tunakumbuka kuwa mtu huyu ana marafiki wasiokuwa waadilifu na ni watu ambao ni wakwapuaji,lazima tujitathimini ili tusije kuuza nchi kwa marafiki wa Lowassa na genge lao.
 
mafisadi papa wenzake wakina rostam hao tunawajua kwa majina ata akificha mambo yapo wazi, na Rais magufuli ataanza na hao wawili.....
 
Wanafiki
 
Attachments

  • 1445503363275.jpg
    1445503363275.jpg
    45.8 KB · Views: 100
Back
Top Bottom