Elections 2015 Lowassa: Sina pesa, hizi nachangiwa na marafiki zangu

Kama tutakumbuka maneno ya Mwalimu Nyerere kuwa Ikulu ni mahala patakatifu mtu anaetaka kwenda Ikulu tena kwa kuhonga ni wa kumuogopa kama "UKOMA" nae LOWASA ni wa kumuogopa kama UKOMA. Pia huyo jamaa anajisumbua ana laana ya Mwalimu Nyerere Uraisi haupati labda sisi siyo Watanzania!
 
!
!
ukoma zamani bana siku hizi haupo

Mbona Mkapa nae kaiba sana tu.
 
Kila anapochangia...anasema yeye hana pesa ila amechangiwa na marafiki zake.Haya huwa anayazungumza anapokuwa anatoa mchango wake wa fedha nyingi sana kwenye vikundi.

Watanzania hizo ni pesa zenu ambazo zilikuwa zimeibiwa sasa zinarudi na ninacho waomba mzipokee kwa mikono miwili lakini mnajua wp mtatoa kura yenu lakini kama mtaafanya makosa kumpa kura mtu ambaye ameleta pesa kwenu ila apate kura madhala yake ni makubwa sana.

Wafanya biashara ni marafiki zake na hao ndio wanao pambana kumweka madarakani je atawalipa nini akishakuwa rais?
Acheni kumsakama lowasa. Kama huna cha kuandika nyamaza kimya. Mwacheni mzee wetu ale maisha yake. Tumechoka sasa.
 
Kwa kweli sitaki nionekane simtakii mema kwenye kampeni zake after all ana saidia jamii.Lakini hela anazo toa ni nyingi mno kiasi ni vigumu kuto kuacha maswali ya kujiuliza.Nilitaka kufikiri ni mafao ya uwaziri mkuu lakini mbona mawaziri wakuu wastaafu ni wengi na wengine hawaonyeshi kama wana hela ya maana.Wana jamvi tafadhali mimi siyo adui wa Lowasa.Isitoshe ni mwanamapinduzi tu na ana rekodi ya uchapakazi.Lakini swali ana pata wapi hela hizo?Maana kwa utoaji huo ni kama anakiwanda chake cha kutengeneza hela,ni nyingi muno kwa kweli. Wana jamvi labda mtatu saidia kama ana bishara anazo miliki kisheria hapo mashaka yangu yata isha.Cha ajabu hata Muhongo alipo taja matajiri kumi wanao miliki maeneo makubwa Tanzania ambapo Mengi ali mtaja kuwa ana milki ukubwa wa eneo kama wamji wa Moshi mara 89 yeye hakutajwa.Kwakweli utajiri wake hauonyeshi kama una zalishwa popote,sasa unatoka wapi? Kikundi chochote kikimualika haipungui milioni kumi ishirini.Ni saidieni wanajamvi jamani.

Hata mimi naunga mkono hoja huyu jamaa nashindwa kumwelewa ni wapi anatoa hzo pesa mfano: Mwanzo wa mwezi huu alitembelea kigamboni ambapo alitoa madawati 100 na kuwakabidhi akina mama Tsh mil.10.
Lkn kubwa zaidi kajenga shule ya msingi ya watoto wasiojiweza na wanaoishi ktk maisha hatarishi ambayo imegharimu Tsh million 364.
Duuh huyu jamaa haeleweki kabisa.
 
Naomba kuwafahamu kwa majina hao marafiki wa lowassa wanaompa huyu jamaa mapesa mengi hivi ya kuchezea.inaelekea wana roho nzuri sana,maana hata katka siasa za USA hakuna matajiri wanaomwaga pesa kiholela namna hii.
 
Kwani huwajui friends of Lowassa, ambao miongoni mwao wanaongozwa na King maker RA ambaye yumo katika orodha ya Forbes ya the wealthiest persons in the World.

Wengineo ni nyoka mwenye makengeza msaka pesa, mwingine ni yule mama mnunuaji mboga ya shilingi milioni 10 kwa siku na yule mzee wa TICT's ambaye kampuni yake inaweza hadi kuweza kumuingizia zaidi ya shilingi bilioni 1 kwa siku.

Unataka list zaidi?

Nadhani hiyo list inaweza kukupa mwanga na kujua kumbe huyo jamaa kuweza kufungua pazia kwa kutangaza nia ya kuutaka Urais kwa kutumia zaidi ya bilioni 1 ni jambo ambalo ni jepesi mno kwake!
 
Naomba kuwafahamu kwa majina hao marafiki wa lowassa wanaompa huyu jamaa mapesa mengi hivi ya kuchezea.inaelekea wana roho nzuri sana,maana hata katka siasa za USA hakuna matajiri wanaomwaga pesa kiholela namna hii.

Na wanaowapa sita na makamba mbona huulizi,membe nae,??
 
Naomba kuwafahamu kwa majina hao marafiki wa lowassa wanaompa huyu jamaa mapesa mengi hivi ya kuchezea.inaelekea wana roho nzuri sana,maana hata katka siasa za USA hakuna matajiri wanaomwaga pesa kiholela namna hii.

Unawataka wa nn? Mbona hata USA wanachangiwa check hapo Dr. Ben anafikisha wachangia 150000th.
 
Attachments

  • 1433991609172.jpg
    1433991609172.jpg
    39.3 KB · Views: 342
Naomba kuwafahamu kwa majina hao marafiki wa lowassa wanaompa huyu jamaa mapesa mengi hivi ya kuchezea.inaelekea wana roho nzuri sana,maana hata katka siasa za USA hakuna matajiri wanaomwaga pesa kiholela namna hii.

Ukisoma habari za Bermuda triangle utapata majibu yote
 
Weee USA wanatoa hela kuliko, donors wa mgombea uraisi huwa wanatoa hela za maana
 
Back
Top Bottom