Elections 2015 Lowassa: Sina pesa, hizi nachangiwa na marafiki zangu

kila anapochangia...anasema yeye hana pesa ila amechangiwa na marafiki zake.haya huwa anayazungumza anapokuwa anatoa mchango wake wa fedha nyingi sana kwenye vikundi.

Watanzania hizo ni pesa zenu ambazo zilikuwa zimeibiwa sasa zinarudi na ninacho waomba mzipokee kwa mikono miwili lakini mnajua wp mtatoa kura yenu lakini kama mtaafanya makosa kumpa kura mtu ambaye ameleta pesa kwenu ila apate kura madhala yake ni makubwa sana.

Wafanya biashara ni marafiki zake na hao ndio wanao pambana kumweka madarakani je atawalipa nini akishakuwa rais?


kwa tanzania kukaa unawaza huyu pesa kapata wapi ni kupoteza muda. Waza kwa nini wewe ni masikini
 
Kwa mfano magufuli aliposema akishinda atampatia upendeleo diallo,,,,maanake ni nini,,
 
Back
Top Bottom