Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,221
Umewahi kuona wapi chama cha siasa kikabaki salama baada ya principles zake zinazojenga perception which bears like-minded viewpoints kwa wanachama kuanza kuchezewa.Fahamu kwamba ndani ya wabunge wa ccm, wengi wao walipendelea serikali 3. kilichokuja kuvuruga misimamo yao ni hotuba aliyotoa mhe. jk kama unakumbuka. Sasa hata EL alikuwa miongoni mwa waliokuwa na msimamo wa serikali 3.
Undumila kuwili wa wanasiasa ni wa pande zote si ccm au ukawa wote tu
..lowassa hajawahi kusema "naomba msamaha..." kuhusu richmond.
..lakini lowassa amewahi kusema kwa alijiuzulu ili kuwajibika kwa makosa yaliyofanywa na serikali ambayo yeye Lowassa alikuwa akiisimamia.
..lowassa aliongeza kwamba yeye alijiuzulu kama walivyofanya mawaziri wengine kama mzee ali hassan mwinyi, mzee peter siyovelwa, na mzee peter kisumo.
..video zinazoonyesha lowassa kusema hayo zipo kwenye mtandao.
..richmond ilitokana na watendaji wa serikali kulazimishwa na " mamlaka ya juu" ikulu.
..zaidi ya lowassa wako wengine walioumizwa kama dk.ibrahim msabaha akiyesema yeye alifanywa "bangusilo"/mbuzi wa kafara na kwamba richmond ina mwenyewe.
Nimefuatilia sana maandiko yako wewe na wala huwezi kudanganya mtu kwamba unataka ccm iendelee kwa kuwa umeizoea, au kwa kuwa huan maono mema zaidi ya maisha ulioyozoeshwa au hujui namna ya kubadilisha mifumo na hali ya nchi. Ninachokiona wewe unaona ni afadhli ufe na ccm kwa msemo usemao "afadhali shetani mzee kuliko shetani kijana".
Kama huna uelewa, unauilza badala ya ku conclude.
We need transformation and if you don't, you can not stop us. Tunajua mabadiliko is a process kama vile uharibifu wa nchi umekuwa process ya muda mrefu iliyokuwa ikitengenezwa na ccm. Kwanza tunaiondoa hiyo ccm yenu madarakani. Pili tunatengeneza coercive system na constitution itakayowalinda Watanzania wote dhidi ya predatory behaviors and practices kama za ccm. Watu wote mafisadi, wewe na mimi tutalazimika ku abide whether we like or not. Is for Public interests and security.
Sasa unachotaka zaidi ni nini? Kwamba wasiseme wanachokifikiria kukifanya kwa kuwa ccm na nkurunzinza walisema hawakufanya?
Mbona huongelei nchi kama Kenya iliyomove foward kwa kasi ya ajabu baada ya kulindoa li ccm lenu la kule?
Kwa nini huongelei nchi kama CHINA ambako hakuna mpumbavu mmoja atadiriki kufanya yanayofanywa na ccm hata kama anatamani bila kujalisha cheo chake?
Tunakwenda kujenga mfumo imara na sahihi ambao ccm imeukwepa ili itimize hizo azma za ubabaishaji na udanganyifu.
..lowassa hajawahi kusema "naomba msamaha..." kuhusu richmond.
..lakini lowassa amewahi kusema kwa alijiuzulu ili kuwajibika kwa makosa yaliyofanywa na serikali ambayo yeye Lowassa alikuwa akiisimamia.
..lowassa aliongeza kwamba yeye alijiuzulu kama walivyofanya mawaziri wengine kama mzee ali hassan mwinyi, mzee peter siyovelwa, na mzee peter kisumo.
..video zinazoonyesha lowassa kusema hayo zipo kwenye mtandao.
..richmond ilitokana na watendaji wa serikali kulazimishwa na " mamlaka ya juu" ikulu.
..zaidi ya lowassa wako wengine walioumizwa kama dk.ibrahim msabaha akiyesema yeye alifanywa "bangusilo"/mbuzi wa kafara na kwamba richmond ina mwenyewe.
Utapewa jina sasa hivi, "clarity" sio utamaduni wetu. . . . .tunataka mabadiliko ila tunataka utaratibu wa kuteteana, kusemeana kwa niaba, mambo yanayopaswa kuelezwa wananchi yaongelewe kwenye vikao halali vya chama. . n.k. . . .na bado baadhi wanaona hii ni sawa halafu bila aibu wanahubiri mabadiliko!!!
Nilitegemea serikali ingekanusha huo utetezi au kuukosoa. Kama raia wanalia ufisadi na serikali inalia ufisadi bila kuchukua hatua huku ikiwalinda mafisadi, bado tuseme hiyo ni serikali tena?
Richmond na ufisadi mwingine ni mtandao mpana unaovuka mipaka ya nchi, ikiongozwa na familia ya mkuu wao. Lowasa amekiri kushiriki na ameeleza ushiriki wake ambao pia haumweki huru lakini haumfanyi awe mkuu wa kitengo kiasi cha kunyoshewa mikono na kila mtu hata jamii ya mafisadi asilia ccm.
Ila uzuri ni msimamo wake wa sasa wa kujiunga na kuongoza wahanga wa ufisadi kuliangusha zimwi na kujenga mfumo mpya wenye maslahi kwa Watanzania.
Ninaimani Lowasa haropoki bila mwongozo wa wenyeji wake kipi akiseme wakati gani. Lakini pia kusema bila mikakati hakuleti uponyaji zaidi ya kusustain maumivu bila dawa.
UKaWA wamenyamaza lakini ninaamini wanayo mipango na taratibu kuu zitakayosimamisha serikali yao kwa mafanikio makubwa. Agenda zao ni nyingi lakini ninajua hawatakosa kuweka suala la katiba na ufisadi na rushwa, afya, elimu na raslimali za taifa.
Ccm wasitumie ufisadi wa zamani wa lowasa kutufitinisha huku wakifumbia mahco ufisadi, rushwa na uharamia uliokithiri na unaoendelea kwenye chama chao.
HATUDANGANYIKI. SHETANI HAWEZI KUTUCHAGULIA MWOKOZI!.
..nadhani kwenye richmond kulikosekana investigative journalism.
..wengi tulirushiwa "chambo" kuhusu mhusika mkuu wa richmond ni nani na tukakimeza bila kuuliza maswali ya msingi.
..sasa tulitakiwa tuwe na waandishi wa habari wachunguzi ambao wangeweza kufuatilia na kuchambua mchele na pumba.
..suala la richmond limeachiwa wanasiasa ambao wanatumia kashfa ya richmond kama rungu la kutandikana na kufikia malengo yao ya kisiasa.
cc Tabby
Mkuu kwa heshima zoote 12:10 leo mchana uliandika nini kuhusu imani?!!!
Hapo juu paragraph ya nne umeandika nini kuhusu imani?!!!
Ndio maana wengine hii habari ya mtu kusema tu bila "binding" tunaona haiko sawa maana anaweza sema hili sasa na baadaye akaja kivingine!!!!! Kama wewe ulivyabdili "thesis" yako na sasa umerudia neno "imani". . . . .
Jioni njema
..nadhani kwenye richmond kulikosekana investigative journalism.
..wengi tulirushiwa "chambo" kuhusu mhusika mkuu wa richmond ni nani na tukakimeza bila kuuliza maswali ya msingi.
..sasa tulitakiwa tuwe na waandishi wa habari wachunguzi ambao wangeweza kufuatilia na kuchambua mchele na pumba.
..suala la richmond limeachiwa wanasiasa ambao wanatumia kashfa ya richmond kama rungu la kutandikana na kufikia malengo yao ya kisiasa.
cc Tabby
Mkuu kwanza tuwekane sawa. Lipumba amekimbia mwenyewe kutoka UKAWA na si kama timu UKAWA ilimtupa. Halafu hebu tuwe wakweli, hivi unashangaa mambo ya kusema uongo na kukana ''msimamo wa jana'' kwenye siasa za Tanzania? Au ni kwasababu unamwongelea mtu ambaye unaonekana kabisa humpendi? Basi nikuhakikishie bila kuwa na sifa hizo HUTAFAULU kwenye siasa za nchi yetu. Wanasiasa wetu karibu woooooooooote (labda asilimia 98) wanapima kwanza upepo wanapoona unakoelekea na wao ndio wanaelekea huko huko. Ni hii ni kwasababu wananchi wa Tanzania ni rahisi sana sana kurubuniwa.I agree, though isn't that an enough reason not to trust such people.
Walau ata hao CCM wanamisimamo inayo eleweka mtu asiekupa ahadi au anabadilisha ahadi anaweza kukukana saa yoyote lake likimwendea kama team UKAWA walivyo watupa akina Dr.Slaa na Prof.Lipumba.
Sasa unajiuliza hawa watanzania wana waamini vipi watu wa aina hii there is one conclusion in all this to me Lowassa ni muongo, aliweza wageuka wenzake wengi waliomsupport wakishindwa warudi kusaidia uchaguzi leo wapo waliobaki na wengi waliomfuata ni kwa sababu ya kukatwa surely this is not a man of his word atawageuka tu na UKAWA huko mbele ndio hulka yake inaonekana, yaani hawa watu wanaomuunga mkono Lowassa ni matatizo matupu.
Natumia imani katika chanzo cha anayoyoangea kwamba yanatokana na maafikiano ndani ya UKAWA na chama chake. Na kwa msingi huo, ninazidi kuamini watazidi kumwongoza na kumsupport kuwa kiongozi mzuri.
Kwa lugha nyingine, Sina sababu ya kutumia imani kwa kile amekithibitisha kwamba anafuata misingi ya UKAWA. Hilo liko dhahiri. Ambalo halijadhihirishwa ni kama anayasema hayo naturally kutoka ndani yake au anaongozwa na UKAWA. Katika hili, ninaamini anaongozwa na UKaWA kwa sababu ninakifahamu ChADEMA na misingi yake ya maamuzi.
The moment anaanza kwenda kivyake, hawampi muda. Nadhani hata wewe ni shahidi wa hili.
Jioni njema.
Mkuu kwanza tuwekane sawa. Lipumba amekimbia mwenyewe kutoka UKAWA na si kama timu UKAWA ilimtupa. Halafu hebu tuwe wakweli, hivi unashangaa mambo ya kusema uongo na kukana ''msimamo wa jana'' kwenye siasa za Tanzania? Au ni kwasababu unamwongelea mtu ambaye unaonekana kabisa humpendi? Basi nikuhakikishie bila kuwa na sifa hizo HUTAFAULU kwenye siasa za nchi yetu. Wanasiasa wetu karibu woooooooooote (labda asilimia 98) wanapima kwanza upepo wanapoona unakoelekea na wao ndio wanaelekea huko huko. Ni hii ni kwasababu wananchi wa Tanzania ni rahisi sana sana kurubuniwa.
Sijui huyu polepole ataongea nini sasa Lowassa akisimamia Katiba ya Warioba. Atamuunga mkono?Feeling threatened now?Mr Lowassa amemfunga mdomo Polepole kwamba UKAWA imekiuka misingi yake yenyewe kwa kumchukua Lowassa,aje na wimbo mwingine sasa.Katiba mpya inarudi tena kuwa ajenda kuu ya UKAWA ktk kampeni,CCM mnachukia mkisikia neno katiba ya wananchi maana mgombea wenu mwenza mama Samia alikuwa naibu spika wa bunge wa maalum la katiba lililochakachua maoni ya Watanzania.Lowassa is taking the wind off your sail now,I know you didn't expect this from him that's why you're in a panic mode.
Sijui huyu polepole ataongea nini sasa Lowassa akisimamia Katiba ya Warioba. Atamuunga mkono?
Hujui katiba ya Tanzania, otherwise usingesema haya.Baada ya uchaguzi lowassa ataanzisha chama chake kitakachokua na mseto wa wale aliotoka nao ccm na baadhi ya aliyowakuta chadema,hiyo ndio long term plan yake,hiiya sasa ni short term plan tu,hutaki unaacha.
Baada ya uchaguzi lowassa ataanzisha chama chake kitakachokua na mseto wa wale aliotoka nao ccm na baadhi ya aliyowakuta chadema,hiyo ndio long term plan yake,hiiya sasa ni short term plan tu,hutaki unaacha.