Lowassa njoo Kusini na UKAWA tulipize kisasi cha dhulma za CCM

"Upinzani wa kweli utatokea CCM". By Julius Kambarage B. Nyerere.


Wakati wake ndio huu!>
 
kafanya kazi wewe kama unashinda vijiweni unatengemea maisha bora unakufa masikini,ata obama angekuwa rais wa tanzania,

Kamwambie mwenyekiti wako afute hiyo kauli kwanza ndo umnyooshee kidole mwenzako. Watu wanafanya kazi lakini uchumi wao unapukutika tu, pesa haina thamani bado unaleta kiburi hapa wewe vipi?

Usilete mchezo hapa hii ni nchi yetu sote mwaka huu lazima mkalishwe chini kinana alikwisha weka wazi serikali yenu ulikuwa mzigo. Katiba ya warioba hiyoooooo inakuja. Karibu Lowassa ndani ya ukawa safari ya uhakika.
 
wewe kama ni wa kusini basi ni miongoni mwa wanafiki wa kweli,
sisi huku tunamsubili atwambie sumu alizompa mwakyembe na mwandosya alikuwa anataka kuwaua kwa nini?

ukweli ni kwamba kichwani kwako kuna uji hakuna ubongo!!
 
Nipo Mkuu.

Maisha bora kwa kila mtanzania chini ya ccm yamekuwa kiini macho.

Wakati wa kuwaondoa ndiyo huu

Tusifanye Ajizi.


Mkuu the big show sikutegemea tutakuja kuzungumza lugha moja kweli MUNGU mkubwa, tuko pamoja tumtokomeze our common enemy CCM, naomba umshawishi na Ritz pamoja na FF itapendeza tukitambua mbaya wetu na kuunganisha nguvu. Pamoja sana
 
THE BIG SHOW

Mkuu the big show,umoengea kwa hisia kali saana,mpaka machozi yamenitoka. Nimeamua kuchukua emergency leave kutoka shule UK,kuja kujiandisha BVR Na October,nitarudi kwa kazi moja Tu to vote for UKAWa,kwisha. Wakati wa kuanguka mana Na kwale toka mbinguni Ni sasa,Na hautajirudia tena Kama enzi za waisrael. Tukutane October.
 
Last edited by a moderator:
lowasa ukitoka kusini njoo Kagera sisi tunataka meli yetu
Ukitoka Kagera Pitia na Tabora ndugu zangu bado wamealia masikio, usafiri wa reli baba riz kauua kwa kuwapa washkaji zake wale wahindi, maendleo hakuna imebakia sanamu tu ya Nyerere. Sijui ndiyo inayowapa ujinga!!!!!
 
Hakika hii ukawa napata wasiwasi sana na mfumo wao maana hakuna Sera zaidi ya kunyonga mikono tu,enyi ukawa mmeyasahau mmeyasahau yaliyowakuta walibya???
Leo wamekuwa ombaomba,wamekuwa wakimbizi wanatamani Gadaff arudi tuyatafute mabadiliko ndani ya CCM na si kwingineko#twendeNAmagufuli#
 
THE BIG SHOW wewe ni mfia dini kweli lakini kumbuka hata mafuguli unayempigia debe sasa ni mla nguruwe mzuri tu.
 
Last edited by a moderator:
Naaam La mgambo limeliaaa...Tunatangaza vitaaa...

Dhidi ya wale waliokadhani kwamba wana hati miliki ya kuongoza taifa hili.

Lowasa mimi si mshabiki wa chama chochote kile ndan ya taifa hili..kwaufupi mimi nafahamika kama mfia dini..and i am much proud of that...

Mimi ni mfia dini..muhanga wa mfumo hovyo wa ccm pia ni mzawa na mzalendo mwanaharakati wa kupigania mustkabali bora wa wamakonde wenzangu.

CCM sisi huku kusini hatuna ham nayo...

Ndan ya miaka 50 ya uhuru mateso tuliyopewa na ccm hayaelezeki...

Tukikumbuka kipigo cha mwaka juz kisa tuh tunaihoji ccm stahiki na haki zetu za kunufaika na rasilimali yetu kwa kweli hatuna hamu.

Lowasa tunajua umedhulumiwa vingi..

Hata sisi tumedhulumiwa vingi.

Karibu sasa kupitia ukawa tuishikishe adabu ccm.

You will never walk alone on this.


CCM lazima tuiondoe by all means and by any means.

WAkATI NDIO HUUUU...
Mhuuuuu.....siamini kama haya yameandikwa na The bigshow... kuna mtu kahack akaunti yake !!
 
Back
Top Bottom