Lowassa "nitaanzisha benki ya bodaboda"

Nini cha ajabu hapo !!?? Kuna boda boda milioni 1 laki 1 na 20 kila boda boda mmoja akitoa hisa sh 10.000 .x milioni 1 tuu ni bilioni kumi.ni mtaji tosha wa kuanzisha benki 5 mpya kwa kiwango cha sasa hivi cha bilioni 2 .mtaji wa kuanzisha benki. Unashangaa nini huo ndio uongozi unatakiwa wa kuonesha njia.Lowasa raisi wetu. Na pili zingatia elfu kumi nipato la siku moja tuu.kwa boda boda.ataa kama ni dereva tuu atamudu .
 
jamaa hakurupukivkuongea...hutafakari nackuona fursa ndo hutamka na hutaman kutenda
 
Kumbe bora azungumze dakika mbili tu
akizungumza mda mrefu ndo kama haya sasa
what next?benki ya mama lishe?

Hivi bodaboda ni ajira?au ni tatizo la miundo mbinu mibovu?

Kila nchi hasa zilizoendelea zina bodaboda?

yeye akienda Ujerumani kutibiwa huwa anakuta bodaboda huko?
 
Akihutubia wananchi wa mjini Kiomboi katika Jimbo la Iramba Magharibi, Lowassa aliahidi kuwa akichaguliwa ataanzisha benki ya boda boda. Wakati ukiyasikiliza haya na wewe tumia akili zako.
Nini cha ajabu hapo !!?? Kuna boda boda milioni 1 laki 1 na 20 kila boda boda mmoja akitoa hisa sh 10.000 .x milioni 1 tuu ni bilioni kumi.ni mtaji tosha wa kuanzisha benki 5 mpya kwa kiwango cha sasa hivi cha bilioni 2 .mtaji wa kuanzisha benki. Unashangaa nini huo ndio uongozi unatakiwa wa kuonesha njia.Lowasa raisi wetu. Na pili zingatia elfu kumi nipato la siku moja tuu.kwa boda boda.ataa kama ni dereva tuu atamudu .
 
kwani haiwezekani ? humu ndani kuna watu uwezo wa kufikiri ni mdogo sana. Poleni sana ccm kwa msiba.
 
Lowasa janga sugu la wazawa?
 
Sio janja lowasa anaweza huyooo anaudhubutu kabisa mana hayuko ccm
 
Safi sana hii idea ndio imekomboa jimbo la Hyadedrabad India..... Huyu kweli ndio kiongozi tunayemuhitaji
 
Mabenki mengi ya nje yalianzishwa na watu wanaofanya kazi/biashara zinazofanana.
 
Huyu jamaa akili kweli zimo?

Za kuambiwa changanya na zako.

Akihutubia wananchi wa mjini Kiomboi katika Jimbo la Iramba Magharibi, Lowassa aliahidi kuwa akichaguliwa ataanzisha benki ya boda boda. Wakati ukiyasikiliza haya na wewe tumia akili zako.


Asisahau naya mama ntilie pamoja na wamachinga.

Mliisha wahi kujiuliza juu ya tamko la CCM kuwa itatoa Million 50 kila kijiji je kuna impact yeyote kwa maendeleo ya Mtanzania kwa kutoa hizo fedha kwenye kijiji? CCM iliweza kutamka kuwa itaanzisha Bank ya Wakulima, Bank ya wanawake kuna tofauti gani na kuanzisha Bank ya Boda boda? kama Mkapa na Mke wake wameweza kuanzisha Bank je kwa vijana wengi ambao ni boda boda hawawezi kukusanywa kwa pamoja na kuongozwa chini ya usimamizi wa serikali na wao kuweza kuanzisha Bank yao?

Mnapo pinga kitu ni vema kabla mkatafakari kwa kina pia kupitia matamko ya nyuma yaliyowahi kutamkwa na hao viongozi wenu mnaowaabudu kuliko hiki mnachokifanya mnajishushia heshima.
 

Kama kweli kasema hayo basi tatizo ni kubwa sana.. . . . . watu wake wa mipango na kampeni wajitazame
 
Ni bora wangekuwa wanamuandikia cha kuongea huyu jamaa, jamaa kichwani hakuna kabisa anaropoka yanayokuja kichwani tu,Bank ya bodaboda ya nini hizi bank tulizonazo za kazi gani?
yaani yeye hii kazi ya bodaboda imemvutia sana mpaka awafungulie na bank?
 

Mifano yako yoootea sababu umasikini na sera mbaya pamoja na makando kando mengine. . . .Tunaongelea kwenda mbele we unaleta mifano ya zamani tena iliyofeli

watu wanaoongelea kupikia gas we ukaja na habari ya mti unaoyoa mkaa bora hapo wewe ndo unatakiwa kupima kama unajidharaulisha au la
 

Hivi tatizo la foleni likiisha kwenye miji yetu, tukawa na usafiri nafuu na haraka wa umma. Ni nani atapanda boda boda tena? Unless hayo mabadiliko ni kiini macho, otherwise siioni future ya bodaboda kwenye nchi ya uchumi wa kati tuitazamiayo.
 
Бог показал мне путь, потому что дьявол пытается сломать меня, у меня есть много потребностей для выполнения, пожалуйста дорогой Бог ты мой собственный способ доверять, hahaha unfortunately you don't know what you even wrote, ur just fool to ur self, now if you really understand, now get my answers, Ave replied you!! Better you think I don't know what shit you wrote? Por favor hombres!!! #hapakazitu.
 

dah umenena ukwel kabsa wengne hawafikirii wanaponda 2.
 

Achana na hao teamtezijike hawana future. Wanasubiri hizo tisheti zipauke ndipo washtuke wameibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…