Mwaka 2015 wakati aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa Dkt. Wilbroad Peter Slaa anaondoka katika nafasi yake na chama hicho alisema hivi:-
“Niliwauliza wenzangu Lowassa anakuja ndani ya CHADEMA kama mtaji au mzigo, yaani kwa lugha ya kiingeza ni asset au liability?"
Kwa uonavyo sasa, jibu lako lingekuwa lipi hapo?