Uko sahihi kabisa mkuu! Wewe ni miongoni mwa wale wanaotimiza asilimia 10 ya wasiompenda Lowassa!Mimi ni Mtanzania , Lowassa si kipenzi changu , Samahani sana ! :behindsofa:
Naam, mimi kama Mtanzania nakiri kua ni kipenzi changu.
#LowassaForPresidency2015
Mumewako anajua mna share penzi?