Lowassa ndani ya Kilombero

Du! mbona sijaipata hii news mkuu, ngoja nielekee Ruaha sasa hivi Illovo una habari ya ujio?
 
Last edited by a moderator:
watu jana walikesha
 

Attachments

  • 1445496490713.jpg
    83.6 KB · Views: 752
  • 1445496544000.jpg
    98.8 KB · Views: 669
  • 1445496576008.jpg
    53.7 KB · Views: 651
  • 1445496606011.jpg
    41.6 KB · Views: 674
Watu wana furaha sana.. ukombozi umekaribiaaaaa...!!!

✌✌✌👏👏👏🙌🙌🙌
 
aksante
 

Attachments

  • 1445498255545.jpg
    43.9 KB · Views: 400
  • 1445498278224.jpg
    81.1 KB · Views: 379
  • 1445498309802.jpg
    43.5 KB · Views: 382
  • 1445498351964.jpg
    62.9 KB · Views: 381
Lowassa tu maana hakuna namna nyingine! Time of no return!!!!!
 
Nawaambia watu kwamba Uchaguzi huu magufuli atakuwa RAIS ikiwa KURA zitatosha bila kutosheshwa ....km CCM walivyozoea miaka yote
 
anahutubia saa ngapi hapo...hivi ifakara iko jimbo gani?

Jimbo la kilombero jimbo la lijualikal ***** tuko hapa by sakumi baba mamvi ndan ya ifakara tumesha kqmqta jiji liko mikonon mwetu viva LOWASA vivq LIJUALIKALI Asenga arambe limao
 
atutaki kuchagua shati. asenga shati. lijualikali chagua la wana kilombero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…