Lowassa ndani ya Dodoma leo

mndorwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
2,472
Reaction score
1,027
Leo kada wa CCM atakuwepo viwanja vya barafu hapa Dodoma kusaka wadhamini.Tayari wanafunzi wa vyuo vikuuu wamenza kukusanywa kuelekea huko.
 
Ni shilling ngapi kuuzulia? Tangaza dau watu waje. Kwa Lowassa tunalipwa kwenda kwenye mikutano.
 
Sasa wale waliokuwa wanapinga kwamba lowassa kutumia ndege ni anasa wajitokeze basi hapa,hauoni jamaa kwa siku moja tu anamaliza mikoa hadi mitatu? Ingekuwa gari si ingekuwa ni shida? Ndio maana wamerekani waliona mapema mtangaza nia yeyote lazima kwanza awe bilionea(Tsh).
 
Haya,za Mwanza nilizikoswa ngoja nimvizie Geita
 
Ni shilling ngapi kuuzulia? Tangaza dau watu waje. Kwa Lowassa tunalipwa kwenda kwenye mikutano.

Dau hawajatangaza..ila costa zipo ..zina somab watu ...ili badae waitwe mafuriko subir jion team lowasa inakuja kuleta picha humu nyomi....itakayo kuwepo.
 
Matangazo yaliyopo ni kuwa usafir ni bure ,pia lowasa anataka kuongea nao....ila pia nasikia kutakuwa na msos ....
 
Leo kada wa CCM atakuwepo viwanja vya barafu hapa Dodoma kusaka wadhamini.Tayari wanafunzi wa vyuo vikuuu wamenza kukusanywa kuelekea huko.

Ni kweli hata boom limekwisha kata.
 
Ni kweli hata boom limekwisha kata.

Haha....mwaka huu wanafunzi hakuna njaa ukiona uanataka kuishiwa unaelekea kwenye safar ya matumaini unakula na kusaza ,,unarudi soma....Raha sana....
 
Lowasa anapendwa sana jamani,tunamshukuru Mungu kwa kutuletea Lowasa

Kwakwel anapendwa....kwa pesa zake....ukienda kwenye mkutano wake lazima ulipwe....hakuna mtu ambaye hapendi pesa...Ngoja nisogee...viwanjani nikachukue changu mapema.....
 
.... Ngoja Nijipange Nikapige Hela Ambazo Hazina Kazi Wala Jasho
 
Leo kada wa CCM atakuwepo viwanja vya barafu hapa Dodoma kusaka wadhamini.Tayari wanafunzi wa vyuo vikuuu wamenza kukusanywa kuelekea huko.

Mm niko dodoma,hakuna hata mtu mmoja aloletwa na lory wala basi,watu wana mahaba naye na mda huu uwanja wa barafu umejaa,hawa wanaoleta huu umbea huenda ni makarani wa ofisi c za makao makuu ya ccm dom,wanaona wivu kuona ngome yao imevunjwa na mwanamabadiliko lowasa,hapa dom vyuo vyote vimefungwa kuna wanafunzi wachache cbe dodoma
 
tupo barafu kumwangalia msanii lowasa nasikia anaongoe dk tatu tu anaondoka zake
 
tupo barafu kumwangalia msanii lowasa nasikia anaongoe dk tatu tu anaondoka zake
wale wanaokoroma mwaka wamefanyia nini nchi yetu mwangalie msanii vizuri ndio raisi wako baada ya 25 October 2015
 
Tumeshafunga ofisi muda huu, tumewaruhusu watu kuelekea kwenye tukio la kitaifa viwanja vya Barafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…