Pelham 1
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 548
- 100
Lowassa na Team yako karibu sana Ukawa najua Maccm wanakuhofia sana ndio maana wakakata jina lako mapema na si ccm tu hata sasa sisi wenyewe team Ukawa ulikuwa unatumiza vichwa sana njoo Ukawa ujisafishe na utupe maboko ya ccm tuwamwage mwaka huu nakuweka historia ya chama pinzani kushika dolla.