Mmiliki wa sasa wa CHADEMA ni Lowassa. Sumaye ni kama consultant wa CHADEMA ambayo inamilikiwa na Lowassa.
Mbowe kwa sasa ni kama manager tu. Kwa maana stakes za Mbowe na Mtei zote kanunua Lowassa.
Wakuu, nimeshtushwa na taarifa ya habari inayosema. Viongozi wa juu wa CHADEMA watoa tamko kuhusu kifo cha Mawazo. Kilichonishitua no uwepo wa Sumaye na Lowassa kwenye kikao cha viongozi hao na hata kupata nafasi ya kutoa tamko. Naomba kujuzwa nafasi za wawili hawa katika CHADEMA.
Kiki tu,wamepotea haraka sana wiki mbili hizi.santuri ya kuibiwa kura imechuja sasa wapo kwenye maigizo
I have so much respekt for Lowassa..he has always bn calm, wakati yupo ccm na hata baada ya kutoka ccm...ila huyu sumai simuelewi kabisa..hana msimamo, alisema Lowassa akisimamishwa atahama chama..ila cha ajabu, alimfuata lowassa kule alipohamia....Ila nyie CCM mna dhihaka sana naomba siku moja iwe kinyume chake mhisi uchungu huu nilionao. Hawa wazee wamezungumza point tupu halafu washenzi kama nyie Magamba mnawaporomoshea dhihaka na matusi ?????????????!! Naomba tu TUME HURU NA KATIBA MPYA.IPO SIKU MUNGU NI WA WOTE
Sumaye ni katibu mkuu wa chademaMmiliki wa sasa wa CHADEMA ni Lowassa. Sumaye ni kama consultant wa CHADEMA ambayo inamilikiwa na Lowassa.
Mbowe kwa sasa ni kama manager tu. Kwa maana stakes za Mbowe na Mtei zote kanunua Lowassa.
WakuubKingunge yuko wapi ???