Acha ukudaaaWakuu, nimeshtushwa na taarifa ya habari inayosema. Viongozi wa juu wa CHADEMA watoa tamko kuhusu kifo cha Mawazo. Kilichonishitua no uwepo wa Sumaye na Lowassa kwenye kikao cha viongozi hao na hata kupata nafasi ya kutoa tamko. Naomba kujuzwa nafasi za wawili hawa katika CHADEMA.
Wakuu, nimeshtushwa na taarifa ya habari inayosema. Viongozi wa juu wa CHADEMA watoa tamko kuhusu kifo cha Mawazo. Kilichonishitua no uwepo wa Sumaye na Lowassa kwenye kikao cha viongozi hao na hata kupata nafasi ya kutoa tamko. Naomba kujuzwa nafasi za wawili hawa katika CHADEMA.
Kiki tu,wamepotea haraka sana wiki mbili hizi.santuri ya kuibiwa kura imechuja sasa wapo kwenye maigizo
Mmoja lowasa ni bwana fedha sumaye mpiga debe
Mmawia uko busy unatetea kibarua!Akili zako sawa na ngiri
Mmiliki wa sasa wa CHADEMA ni Lowassa. Sumaye ni kama consultant wa CHADEMA ambayo inamilikiwa na Lowassa.
Mbowe kwa sasa ni kama manager tu. Kwa maana stakes za Mbowe na Mtei zote kanunua Lowassa.
Mmiliki wa sasa wa CHADEMA ni Lowassa. Sumaye ni kama consultant wa CHADEMA ambayo inamilikiwa na Lowassa.
Mbowe kwa sasa ni kama manager tu. Kwa maana stakes za Mbowe na Mtei zote kanunua Lowassa.
Mmawia uko busy unatetea kibarua!
Nasikia lile desk lako pale kwenye korido ya Ufipa amekabidhiwa bwana Fredrick Sumai. Pole mkuu
Mkuu mbona hiyo ni tafsiri ya kampuni na wkt kile ni chama