CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,387
- 6,481
Habari za uvumi toka Ar zinasema ex mp wa tz awamu ya 4a alionekana jana kanisani kwa Ngurumo akiwa na bible plas tenzi za rohoni.EL alionekana akiwa viti vya mbele pia alisikika zaidi wakati wa mapambio kushinda wenzake.Pambio lenyewe lilimbwa Sitarudi tena Misri naenda kanani.Baadaye alionekana akiongozwa sala ya toba huku akitoa ahadi jpili ijayo atatoa ushuhuda wa kufedheheshwa sana kuaibishwa sana kusemwa sana.na pia atajiunga na kwaya ya wazee na atakuwa mweka hazina.JE MWANA JF HILI LIMEKAAJE
Tuondolee hapa roho yako chafu ya dini.Unaweza kuprove biblically hiyo shutuma kwa TB JOSHUA & GEORDAVIE? Huoni shutuma yako bila authentic prove inakuthibitisha wewe unamfanzia kazi shetani,na ni wewe haswa unayemuabudu shetani na si hawa? Acha discrimination za kijinga juu ya imani za watu...Ngurumo ya upako na Joshua Nigeria ni timu ya waabudu shetani, Mapepo matupuuuuu!!! wahsindwe na walegeeee katika Jina la Yesu wa Roman catholic amen
ngurumo ya upako na joshua nigeria ni timu ya waabudu shetani, mapepo matupuuuuu!!! Wahsindwe na walegeeee katika jina la yesu wa roman catholic amen
Duh wameshampa na title ya uweka hazina?!! Ama kweli....na pia atajiunga na kwaya ya wazee na atakuwa mweka hazina.
mkuu njopa muogope mungu mimi nilishakuwa pale SCOAN KWA PROPHET T.B.JOSHUA hakuna shetani pale na jamaa kama ilivyo kwa wengine kama katia mguu pale tutakumbushana 2015..
T.B. JOSHUA IS THE REAL MAN OF GOD and HE HAS THE REAL VISION FROM GOD ..sibishanii imani but.......!!!!!!!!
Ngurumo ya upako na Joshua Nigeria ni timu ya waabudu shetani, Mapepo matupuuuuu!!! wahsindwe na walegeeee katika Jina la Yesu wa Roman catholic amen
Ngurumo ya upako na Joshua Nigeria ni timu ya waabudu shetani, Mapepo matupuuuuu!!! wahsindwe na walegeeee katika Jina la Yesu wa Roman catholic amen
imeandikwa "wenye afya hawahitaji tabibu bali walio hawawezi(wagonjwa) hivyo kama wewe unajiona mwenye haki huna sababu ya kutubu lakini Lowasa(kama taarifa ni za kweli) amefanya jambo jema kwa maana "kumcha BWANA(Mungu) ndiyo mwanzo wa hekima na wote wafanyao hayo wana akili njema",amen
Hakuna binadamu aliyekamilika asilimia 100, si vema kumhukumu EL kwa sababu ana nafasi ya kutubu na kufanya kazi za Bwana. Na kwa mtazamo wangu naamini bado anafaa na angalikuwa tusengelia hivi na huu ugumu wa maisha, infllation inatisha
Pengine Lowasa kama muumini sioni tatizo la yeye kuarikwa katika hilo kanisa sidhani kama ni lazima tumfikirie vingine zaidi ya kwenda kufanya ibada na kusimamia harambee.
Lowasa tunakupenda, tunakukubali na bado tunakuhitaji!!!