SDP_TZ_Mpya
Senior Member
- Jun 21, 2013
- 166
- 77
Hee mbona mimi chama changu cha CCM sikielewi. Majuzi Zitto alivuliwa uongozi CHADEMA lakini viongozi wangu km Nape na wengineo walikuwa wa kwanza kusema kuwa Zitto alivuliwa madaraka yake kwa vile alitangaza nia ya kuutaka umwenyekiti wa Chadema. Siku nyingi hazijapita tumemsikia Lowassa akitangaza ndoto yake ya kuwa Rais wa Tanzania kupitia CCM lakini ameshambuliwa kikwelikweli na Nape pamoja na Mangula. Wote Nape na Mangula wakidai kuwa wanaotangaza nia ya kugombea urais kupitia ccm wamekosa sifa za kuteuliwa lakini Mangula akadai wote hao wataitwa ktk vikao vya chama, watahojiwa na watachukuliwa hatua za kinidhamu. Sasa mimi sielewi km chama changu kinafanya siasa za mkuki kwa nguruwe lakini kwa binadamu mchungu? Nikimaanisha kuwa swala km hilo wanaliona ni sawa likifanywa kwenye vyama vya upinzani lakini linakuwa siyo sahihi kwenye chama chetu tawala cha ccm.
Mimi sioni tatizo la Lowassa kutangaza ndoto yake ya kutaka kuwa rais wa Tanzania kwa sababu iwayo yote nafasi ya urais iko wazi mwaka 2015. Lowassa hajatangaza kutaka kumng'oa Kikwete wakati huu akiwa madarakani! Kwani Kikwete anamaliza musimu wake wa pili kwa mujibu wa sheria na hivyo hatakuwa na sifa tena za kugombea urais kwa mujibu wa katiba ya sasa. Kwa hiyo Lowassa kutangaza nia yake tena bila kuwananga viongozi walioko madarakani si uhaini na haki yake kabisa ili watu wapate muda wa kumtathmini. Pengine ni tofauti ni Zitto ambaye yeye amekuwa akitangaza ndoto yake ya urais na uenyekiti wa chama chake kwa kuwaponda viongozi waliopo na kushusha ufanisi wa chama chake kupitia blogs, facebook, media na mikutano ya hadhara. Lakini km Zitto angefanya mambo yake bila kuwadhalilisha viongozi au chama chake sidhani kungekuwepo mtafaruku baina ya Zitto na chama chake au viongozi wenzake wa chadema.
Point of clarification,EL kautaka uraisi na sio uenyekiti wa chama chao ccmHee mbona mimi chama changu cha CCM sikielewi. Majuzi Zitto alivuliwa uongozi CHADEMA lakini viongozi wangu km Nape na wengineo walikuwa wa kwanza kusema kuwa Zitto alivuliwa madaraka yake kwa vile alitangaza nia ya kuutaka umwenyekiti wa Chadema. Siku nyingi hazijapita tumemsikia Lowassa akitangaza ndoto yake ya kuwa Rais wa Tanzania kupitia CCM lakini ameshambuliwa kikwelikweli na Nape pamoja na Mangula. Wote Nape na Mangula wakidai kuwa wanaotangaza nia ya kugombea urais kupitia ccm wamekosa sifa za kuteuliwa lakini Mangula akadai wote hao wataitwa ktk vikao vya chama, watahojiwa na watachukuliwa hatua za kinidhamu. Sasa mimi sielewi km chama changu kinafanya siasa za mkuki kwa nguruwe lakini kwa binadamu mchungu? Nikimaanisha kuwa swala km hilo wanaliona ni sawa likifanywa kwenye vyama vya upinzani lakini linakuwa siyo sahihi kwenye chama chetu tawala cha ccm.
Mimi sioni tatizo la Lowassa kutangaza ndoto yake ya kutaka kuwa rais wa Tanzania kwa sababu iwayo yote nafasi ya urais iko wazi mwaka 2015. Lowassa hajatangaza kutaka kumng'oa Kikwete wakati huu akiwa madarakani! Kwani Kikwete anamaliza musimu wake wa pili kwa mujibu wa sheria na hivyo hatakuwa na sifa tena za kugombea urais kwa mujibu wa katiba ya sasa. Kwa hiyo Lowassa kutangaza nia yake tena bila kuwananga viongozi walioko madarakani si uhaini na haki yake kabisa ili watu wapate muda wa kumtathmini. Pengine ni tofauti ni Zitto ambaye yeye amekuwa akitangaza ndoto yake ya urais na uenyekiti wa chama chake kwa kuwaponda viongozi waliopo na kushusha ufanisi wa chama chake kupitia blogs, facebook, media na mikutano ya hadhara. Lakini km Zitto angefanya mambo yake bila kuwadhalilisha viongozi au chama chake sidhani kungekuwepo mtafaruku baina ya Zitto na chama chake au viongozi wenzake wa chadema.
Kwahili tu mnyonge mnyongeeni haki yake mpeni ccm wako wakomavu kisiasa kuliko CDM
Point of clarification,EL kautaka uraisi na sio uenyekiti wa chama chao ccm
Hivyo ni vitu viwili tofauti sana,kama lowassa ana kosa basi ashitakiwe na Jamhuri kwa kujiandaa kufanya uhaini(mapinduzi kabla ya 2015)
Nini tafsiri yako katika majibu yako haya?Kuutaka urais ccm is synonymous to kuutaka uwenyekiti... Ndani ya CCM uwenyekiti unakuja automatically baaada y kuwa rais, ningemuona Lowass mwendawazimu angesema anautaka uwenyekiti....By the way inaelekea siasaa umeanza huna muda mrefu. Karibu
Mods piga ban, MEANDU,
hawa vijana wa Bavichwa Gongo itawauwa
Mods piga ban, MEANDU,
hawa vijana wa Bavichwa Gongo itawauwa
Km nia ya Lowassa ni swala la nchi kutaka kufanyiwa uhaini basi ccm wangekaa kimya badala ya kumpiga mkwala wa kunyimwa nafasi ya kugombea.Kuna watu wanatumia mwavuli wa nia ya mbio za kuwania uraisi wa Tanzania kwa aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza wa JK, Mh E Lowassa (mb) kulilinganisha na sakata la Zitto kabwe kuutaka uenyekiti wa chama chadema
Naomba tutumie akili kidogo kutofautisha urais wa nchi na uenyekiti wa chama,watu wanaofanya hizi propaganda wana nia moja tu ya kutaka kutuaminisha kuwa CCM hamna demokrasia kama chadema na hivyo basi kutimiza adhima yao ya kufanya udikteta kwa kumfukuza ZZK kwakua kaonyesha nia yote ya kuutaka uenyekiti huo na hivyo basi kuwa tishio kwa Mh mbowe ambaye anajipanga kujitosa tena kwa hila ya kuondoa kipengele cha ukomo wa madaraka katika katiba ya chama
Ni lazima ikumbukwe kuwa kitendo cha Lowassa kuutaka urais kisheria kingetafsiriwa kuwa ni uhaini(mpango wa mapinduzi ya nchi)kwa sababu suala hilo linahusu nchi zaidi rather than chama chao CCM
Rai yangu:ili cdm tujipambanue kuwa ni chama cha siasa na tuko tofauti na ccm ni lazima misingi ya demokrasia ya kweli izingatiwe pratically ikiwemo kupokea changamoto za mitazamo tofauti ndani ya chama bila kusahau kuruhusu uwanda mpana wa kupiga kura za kuchaguliwa viongozi wake wa chama
Nawasilisha-ningefurahi sana watu washushe facts,points na sio maneno ya kukaririshwa na matusi ya udhaifu wa kukosa hoja ya ku counterattack my point
Huyu Ngoyayi alivyokomalia kutenganisha Uenyekiti wa Chama na Urais unafikiri alichokuwa anakitaka ni nini? Wewe unasubiri aseme "nataka Uenyekiti" ndio uthibitishe kuwa kweli anautaka?Point of clarification,EL kautaka uraisi na sio uenyekiti wa chama chao ccm