LOWASA NA JITIHADA ZA KUUKWEPA MDAHALO:
Mgombea wa uraisi kupitia umoja wa ukawa Mhe.E.Lowasa anafanyiwa jitihada za kutaka kusaidiwa au kuukimbia mdahalo utakaoandiliwa kwa ajili ya wagombea urais vya vyama vyote nchini. Chama cha Chadema ambacho ndicho mgombea huyo anapotoka kinafanya juhudi kubwa ya kuhakikisha E.lowasa kwa namna yoyote ile isiweze kuudhuria au kushiriki nae.Mikakati iliyoandaliwa kutekeleza hilo ni kama ifutayo:~
1.Kuupinga mdahalo huo kuwa usiwe wa wagombea wa urais pekee bali wawepo na wanachama wa vyama husika(Hii inalengo la kutaka viongoz wa ukawa washiriki mdahalo huo kwa kuhofia Bw.lowasa ataweza kuongea kutokana na hali yake kiafya na pia atashindwa kujitetea kwa tuhuma zinazomkabili,na hivyo wananchi watamuona hafai!
2:Chama kinaandaa uwezekano wa kumsafirisha E.lowasa nje ya nchi kwa kigezo cha matibabu ili siku hiyo ya mdahalo asiwepo nchini.
UMUHIMU WA MDAHALO:Jambo hilo linatoa nafasi nzuri kwa wananchi kuwapima wagombea uwezo wao kiakili, kifikra na kimkakati kwa kuwapa nafasi wahusika kujieleza namna gani wakipewa zamana wataweza kuindesha nchi.Hoja juu ya ilani,ahadi na mikakati yao wataweza kuzieleza vizuri ikiwa ni pamoja na uwezekano wa utekelezaji wake.
WITO KWA WATANZANIA:
Nchi hii ni yetu,imefikia hatua ya kupambanua kati ya pumba na mchele kwa ajili ya manufaa yetu ya sasa na baadae!Tuamke,tunahitaji mdahalo wa wagombea wote wa urais ili tujue jinsi gani tutakae mpa nafasi hiyo ataendesha nchi yetu kwa mtazamo tutaona unafaa:

Mdahalo wa Lowassa ataufanya na wapiga kura wake, hiyo midahalo yenu FEKI hatuna haja nayo, mbinu zenu za kizamani tushazishtukia mutachora chini NYAMBAFU...Huyo mzee ni dhaifu katika midahalo, ponapona yake ni kutegemea wasaidizi wake lni yeye mwenyewe hana uwezo wa kuhimili. Taifa linahitaji kiongozi mwenye uwezo wa kujenga hoja,uwezo wa kutetea kile anachoamini, sasa kama hawezi kuongea, atakuwa rahisi wa namna gani! Itakuwa vituko kuwa na rais kama mzee Lowasa.
LOWASA NA JITIHADA ZA KUUKWEPA MDAHALO:
Mgombea wa uraisi kupitia umoja wa ukawa Mhe.E.Lowasa anafanyiwa jitihada za kutaka kusaidiwa au kuukimbia mdahalo utakaoandiliwa kwa ajili ya wagombea urais vya vyama vyote nchini. Chama cha Chadema ambacho ndicho mgombea huyo anapotoka kinafanya juhudi kubwa ya kuhakikisha E.lowasa kwa namna yoyote ile isiweze kuudhuria au kushiriki nae.Mikakati iliyoandaliwa kutekeleza hilo ni kama ifutayo:~
1.Kuupinga mdahalo huo kuwa usiwe wa wagombea wa urais pekee bali wawepo na wanachama wa vyama husika(Hii inalengo la kutaka viongoz wa ukawa washiriki mdahalo huo kwa kuhofia Bw.lowasa ataweza kuongea kutokana na hali yake kiafya na pia atashindwa kujitetea kwa tuhuma zinazomkabili,na hivyo wananchi watamuona hafai!
2:Chama kinaandaa uwezekano wa kumsafirisha E.lowasa nje ya nchi kwa kigezo cha matibabu ili siku hiyo ya mdahalo asiwepo nchini.
UMUHIMU WA MDAHALO:Jambo hilo linatoa nafasi nzuri kwa wananchi kuwapima wagombea uwezo wao kiakili, kifikra na kimkakati kwa kuwapa nafasi wahusika kujieleza namna gani wakipewa zamana wataweza kuindesha nchi.Hoja juu ya ilani,ahadi na mikakati yao wataweza kuzieleza vizuri ikiwa ni pamoja na uwezekano wa utekelezaji wake.
WITO KWA WATANZANIA:
Nchi hii ni yetu,imefikia hatua ya kupambanua kati ya pumba na mchele kwa ajili ya manufaa yetu ya sasa na baadae!Tuamke,tunahitaji mdahalo wa wagombea wote wa urais ili tujue jinsi gani tutakae mpa nafasi hiyo ataendesha nchi yetu kwa mtazamo tutaona unafaa:
naona bado posho na bando ulizolipiwa hazijaisha zikiisha utatupisha tu. Ila niaaibu kujidhalilisha na kuudhalilisha utu wako kwa kununuliwalowasa na jitihada za kuukwepa mdahalo:
Mgombea wa uraisi kupitia umoja wa ukawa mhe.e.lowasa anafanyiwa jitihada za kutaka kusaidiwa au kuukimbia mdahalo utakaoandiliwa kwa ajili ya wagombea urais vya vyama vyote nchini. Chama cha chadema ambacho ndicho mgombea huyo anapotoka kinafanya juhudi kubwa ya kuhakikisha e.lowasa kwa namna yoyote ile isiweze kuudhuria au kushiriki nae.mikakati iliyoandaliwa kutekeleza hilo ni kama ifutayo:~
1.kuupinga mdahalo huo kuwa usiwe wa wagombea wa urais pekee bali wawepo na wanachama wa vyama husika(hii inalengo la kutaka viongoz wa ukawa washiriki mdahalo huo kwa kuhofia bw.lowasa ataweza kuongea kutokana na hali yake kiafya na pia atashindwa kujitetea kwa tuhuma zinazomkabili,na hivyo wananchi watamuona hafai!
2:chama kinaandaa uwezekano wa kumsafirisha e.lowasa nje ya nchi kwa kigezo cha matibabu ili siku hiyo ya mdahalo asiwepo nchini.
Umuhimu wa mdahalo:jambo hilo linatoa nafasi nzuri kwa wananchi kuwapima wagombea uwezo wao kiakili, kifikra na kimkakati kwa kuwapa nafasi wahusika kujieleza namna gani wakipewa zamana wataweza kuindesha nchi.hoja juu ya ilani,ahadi na mikakati yao wataweza kuzieleza vizuri ikiwa ni pamoja na uwezekano wa utekelezaji wake.
Wito kwa watanzania:
Nchi hii ni yetu,imefikia hatua ya kupambanua kati ya pumba na mchele kwa ajili ya manufaa yetu ya sasa na baadae!tuamke,tunahitaji mdahalo wa wagombea wote wa urais ili tujue jinsi gani tutakae mpa nafasi hiyo ataendesha nchi yetu kwa mtazamo tutaona unafaa:
LOWASA NA JITIHADA ZA KUUKWEPA MDAHALO:
Mgombea wa uraisi kupitia umoja wa ukawa Mhe.E.Lowasa anafanyiwa jitihada za kutaka kusaidiwa au kuukimbia mdahalo utakaoandiliwa kwa ajili ya wagombea urais vya vyama vyote nchini. Chama cha Chadema ambacho ndicho mgombea huyo anapotoka kinafanya juhudi kubwa ya kuhakikisha E.lowasa kwa namna yoyote ile isiweze kuudhuria au kushiriki nae.Mikakati iliyoandaliwa kutekeleza hilo ni kama ifutayo:~
1.Kuupinga mdahalo huo kuwa usiwe wa wagombea wa urais pekee bali wawepo na wanachama wa vyama husika(Hii inalengo la kutaka viongoz wa ukawa washiriki mdahalo huo kwa kuhofia Bw.lowasa ataweza kuongea kutokana na hali yake kiafya na pia atashindwa kujitetea kwa tuhuma zinazomkabili,na hivyo wananchi watamuona hafai!
2:Chama kinaandaa uwezekano wa kumsafirisha E.lowasa nje ya nchi kwa kigezo cha matibabu ili siku hiyo ya mdahalo asiwepo nchini.
UMUHIMU WA MDAHALO:Jambo hilo linatoa nafasi nzuri kwa wananchi kuwapima wagombea uwezo wao kiakili, kifikra na kimkakati kwa kuwapa nafasi wahusika kujieleza namna gani wakipewa zamana wataweza kuindesha nchi.Hoja juu ya ilani,ahadi na mikakati yao wataweza kuzieleza vizuri ikiwa ni pamoja na uwezekano wa utekelezaji wake.
WITO KWA WATANZANIA:
Nchi hii ni yetu,imefikia hatua ya kupambanua kati ya pumba na mchele kwa ajili ya manufaa yetu ya sasa na baadae!Tuamke,tunahitaji mdahalo wa wagombea wote wa urais ili tujue jinsi gani tutakae mpa nafasi hiyo ataendesha nchi yetu kwa mtazamo tutaona unafaa:
Mwaka 2005 CCM mlikataa midaharo tena kwa kutoa waraka kabisa na 2010 pia mlitoa waraka wa kuzuia midaharo na TBC walipolazimisha bila wanaccm kuhudhuria matokeo yake tuliona jinsi mkurugenzi mkuu wa TBC wakati huo Tido mhando alivyofanywa. Sasa je ni nini kimefanya mwaka huu mng'ang'anie midaharo?! mzarau mwimba huota tende, haya yakiwapata kama yaliyompata mgombea wenu wa ubungo mwaka 2010 mtasemaje ?LOWASA NA JITIHADA ZA KUUKWEPA MDAHALO:
Mgombea wa uraisi kupitia umoja wa ukawa Mhe.E.Lowasa anafanyiwa jitihada za kutaka kusaidiwa au kuukimbia mdahalo utakaoandiliwa kwa ajili ya wagombea urais vya vyama vyote nchini. Chama cha Chadema ambacho ndicho mgombea huyo anapotoka kinafanya juhudi kubwa ya kuhakikisha E.lowasa kwa namna yoyote ile isiweze kuudhuria au kushiriki nae.Mikakati iliyoandaliwa kutekeleza hilo ni kama ifutayo:~
1.Kuupinga mdahalo huo kuwa usiwe wa wagombea wa urais pekee bali wawepo na wanachama wa vyama husika(Hii inalengo la kutaka viongoz wa ukawa washiriki mdahalo huo kwa kuhofia Bw.lowasa ataweza kuongea kutokana na hali yake kiafya na pia atashindwa kujitetea kwa tuhuma zinazomkabili,na hivyo wananchi watamuona hafai!
2:Chama kinaandaa uwezekano wa kumsafirisha E.lowasa nje ya nchi kwa kigezo cha matibabu ili siku hiyo ya mdahalo asiwepo nchini.
UMUHIMU WA MDAHALO:Jambo hilo linatoa nafasi nzuri kwa wananchi kuwapima wagombea uwezo wao kiakili, kifikra na kimkakati kwa kuwapa nafasi wahusika kujieleza namna gani wakipewa zamana wataweza kuindesha nchi.Hoja juu ya ilani,ahadi na mikakati yao wataweza kuzieleza vizuri ikiwa ni pamoja na uwezekano wa utekelezaji wake.
WITO KWA WATANZANIA:
Nchi hii ni yetu,imefikia hatua ya kupambanua kati ya pumba na mchele kwa ajili ya manufaa yetu ya sasa na baadae!Tuamke,tunahitaji mdahalo wa wagombea wote wa urais ili tujue jinsi gani tutakae mpa nafasi hiyo ataendesha nchi yetu kwa mtazamo tutaona unafaa:
Na ndio maana mbatia anona hii nchi kama ya baba yk kila kitu anataka kuongea yy. Tunawataka xn wagombea urais tuwahoji wataifanyia nn tanzania