Lowassa mtu wa watu

Mkongwe03

Senior Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
150
Reaction score
100
Kwa waliohudhuria mkutana wa jana pale viwanja vya matarawe wamejionea wenyewe mamia ya watu walivyojitokeza kumpa sapoti rais wetu mtarajiwa
 

Attachments

  • 1441200902643.jpg
    8.9 KB · Views: 630
Ngoma droo hata magufuli vle vle,tukutane october hapa ni porojo tu!
 
Nyota ya Alien kutoka anga za mbali.Akili kubwa saaaaana hiyo na ndio iliyokuwa na mbinu za kisayansi za kupambana na wapinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…