Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
wanaochochea machafuko,chuki na uhasama wa kila namna ni ccm. Lowasa na mbowe wanastahili
Wamependekezwa kupewa tuzo au watapewa tuzo? Pia wameishia kutaja jopo la watafiti sabini duniani, hawajasema kutoka wapi, chini ya mwamvuli gani na mengineyo!
NB: Gazeti la Tanzania Daima lisajiliwe kama gazeti la chama cha siasa kama yalivyo uhuru na mzalendo
Siasa za mwaka huu hasa upande wa upinzani zinaendeshwa kistarabu sana kuliko miaka yote
Matusi na vitisho vinatoka CCM maajabu haya