GHIBUU,
..kura za Znz ni muhimu ktk kinyang'anyiro cha kumpata mgombea Uraisi kupitia CCM.
..umesahau mwaka 95 jinsi wa-Znz walivyopiga kura kama kundi kumpitisha Mkapa dhidi ya Kikwete?
Wakipa urais halafu ndio wa kwanza kuikandamiza zanzibar na watu wake, kuwatisha vile vile, wamesahau bunge la Katiba walivyo watisha wazanzibari waka ufyata