Siyo fisadi! Period
Kama huyu asiyetaka kujaribiwa, kapiga marufuku mikutano na maandamano ya wapinzani kwa kujificha nyuma ya mgongo wa polisiccm na ana ushahidi wa ufisadi wa Lowassa ni kipi kinamshinda huyu kumkamata na kumpandisha kizimbani!? Hapo mie ndiyo namshangaa huyu aliyejitoa kafara kupambana na mafisadi.
So what!
Hawawezi kukuelewa mkuu japo huo ndiyo ukweli. Kinachowafanya wajitutumue kwa sasa ni kukosa mishipa wa aibu na kuendekeza njaa. Chama gani kila anayeaanza kuonyesha uwezo wake anafukuzwa kwa usaliti? Kitakuwa chama cha wazee tu, masikini vijana wamekuwa bendera fuata upepe, kila anayeletwa na Mbowe wanaanza kumsifia kwa nguvu zote.Kosa kubwa walilofanya die hard fan wa Chadema(BAK,YERIKO,MUNGI) ni kitendo cha kuunga mkono kitendo cha Lowasa kukaribishwa Chadema na kupewa nafasi kubwa kuliko hata wale waanzilishi.Binafsi Chadema walifanya kosa kubwa sana kuwafukuza Zitto Kabwe na Prof. Kitila Mkumbo
Hahahahahaaaa...huwiiiiii!!! Anabisha kidogo anapewa evidence duh. Mimi yangu macho tu.BAK bwana!! You guys have really invested in politics...and I guess it pays ....
View attachment 374145
Ama kweli Siasa ni biashara!
Leo hii BAK anamlamba miguu mtu aliemtangaza kuwa fisadi.
Siasa za kuchumia tumbo. Siasa uchwara!
-Kaveli-
Kosa kubwa walilofanya die hard fan wa Chadema(BAK,YERIKO,MUNGI) ni kitendo cha kuunga mkono kitendo cha Lowasa kukaribishwa Chadema na kupewa nafasi kubwa kuliko hata wale waanzilishi.Binafsi Chadema walifanya kosa kubwa sana kuwafukuza Zitto Kabwe na Prof. Kitila Mkumbo
Wacha uzushi wewe hebu weka bandiko langu la kuunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA.
Acha uzushi wewe taahira, wapi nilipomlamba miguu Lowassa!? Na kwa taarifa yako sijawahi kupata hata senti moja toka kwa yeyote ndani ya CHADEMA kwa yote ninayoyaandika humu.
Huwezi amini BAK ndio kawa mpambe mkubwa wa lowasa teh teh njaa mbaya sanaKwakweli inasikitisha sana.
Ndio mtu kama huyu sasa unajiuliza hata familia yake anaisimamiaje kama anakosa msimamo kwa mambo kama haya?
huyu BAK ni njaa inamsumbua leo hii ndio mlamba miguu ya Lowasa...teh teh hana msimamoMatusi ya nini we killaza, unapanic nini sasa? au 'kushikishwa UKUTA' na mbowe ndo ushawehuka tayari eeh?
Endelea 'kuchora 7' mbele ya Mbowe na Lowasa.
View attachment 374402
View attachment 374404
-Kaveli-
Wacha uzushi wewe hebu weka bandiko langu la kuunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA.
Huwezi amini BAK ndio kawa mpambe mkubwa wa lowasa teh teh njaa mbaya sana
So what!
Na badoLowassa ni fisadi.
Na bado