Lowassa, Maalim Seif waishika Zanzibar!

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Haiwi haiwi uvumivu sasa umefikia mwisho ,Polisi wa Muungano wapo njiani wakisaidia juhudi za mwizi kuendeleza wizi kwa maana sasa wananchi kila mmoja kwa upande wake anatoka njiani kifua mbele kupinga hatua za CCM kutaka uchaguzi urudiwe kwa kuwa ilipigwa na chini ,wanachi wakati wa kulazimishwa kuekewa utawala wasio uchagua umepitwa na wakati.

Polisi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wapo njiani kupambana na wananchi wenye hasira kali ,muda huu ni mabomu kila kona na pia inasemekana zimesikika risasi za moto.
Kama huamini mpigie simu aliepo Zanzibar.


=======================



Chanzo: Mwananchi
 
Itakuwa shwari tu na wananchi watapata fursa yao ya kupiga kura kwa amani na usalama.

Anayekubalika atachaguliwa na kutangazwa mshindi...
 
sera ya wapigwe tu bado inaendelea kwani??
 
Si kweli niko Zanzibar na hali ni shwari kabisa! Kama ungekuwa mkweli ungetaja maeneo!
Una uhakika ? Sasa nakuambia kuwa watu wameamua kufunga maduka na bomu limerushwa ndani ya nyumba ya mtu ,mwenye nyumba kawatokea wakasema wamelirusha kwa bahati mbaya ,na mabomu yanaendelea ,polisi wanasema wanafukuza jamaa eti sio waTz na jana kumeshushwa majeshi kibao ,ila watu wakiamua kufa basi hio sio dawa mtawauwa wengi tu.
Ila ulizia kati ya Mlandege na raha leo kuna nini hivi sasa !
 
Ime
Imetokea wapi????
 
Nayaona ya Burundi yakija Zanzibara, ajabu kubwa ni kuwa wasuluhishi wa Burundi ni viongozi kutoka Tanzania sijui hii imekaaje, unazima moto kwa jirani kwako kuna teketea?
 
Itakuwa shwari tu na wananchi watapata fursa yao ta kupiga kura kwa amani na usalama.

Anayekubalika atachaguliwa na kutangazwa mshindi...
vipi mkishindwa tena mtakubali matokeo?
 

Mkuu hilo tukio limetokea mida ya saa ngapi kiongozi mtujuze tuliokuwa mbali na television wakuu. Thanks.
 
Acha kiwake then tuwaite Ccm tupime faida na hasara.Wakati huo kuna watu watakuwa ICC
 
Kilichotokea ZNZ ni coup de tat pure and simple
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…