nionyeshe sehemu nilio andika am gonna vote for magufuli!!!Eti university of nevada...why not udsm..open univerrsity nk...limbukeni wewe..huko marekani kama unasoma kwa hela ya baba yako ujue hukufaulu kujiunga na vyuo vya hapa...kilaza sana...komaa na vya kwako...lowasa ni bora kuliko huyo magufuli wako...hana uwezo wa kushindanoaa na waliyomteua
Kama serikali yenyewe ni hii ya kina Nape ni lazima iwaogope malimbukeni wa aina yako ila soon ukombozi wa kweli utakapopatikana elimu najitolea bure kukupeni elimu ya uraia watu wa aina yako ili walau mbadilike kwenye level ya familia muweze kuendesha familia zenu vyema msipate wana wa kukufanana mlivyo sasa!
Hujachelewa mdogo wangu/au mwanangu kwa maana akili yako inaakisi umri wako! Si ni wewe ulianzisha pia uzi https://www.jamiiforums.com/mahusia...vyovuta-sigara-post13869580.html#post13869580
Between me & you who is colonized?
You think I eat pieces of shit like you for breakfast?
Hivi watanzania aliye waloga yuko hai kweli?
Huyo lowasa mchapa kazi mnasema ni sauti ya mungu, anahistoria gani nzuri katika hayo mnayo mpaka? Ama ufisadi nowadays ni uchapakazi?
Afu mambo yakianza kuwaendea kombo, wale wale wanaojiita wanamabadiliko ndo mstari wa mbele kulalamika!!!
Binafsi lowasa haezi kua Rais wa Tanzania, hivi watanzania wanaosema mabadiliko, yataletwa na lowasa ni kwa miujiza gani hata kama nchi ina rasilimali!!! Hivi jumuia ya kimataifa itatuchukuliaje?
Usitegemee any changes from lowasa, kama wananchi hawajitambui, then hata serikali ingegawa pesa even if you're not working, huwezi kupiga hatua, yeah!! Ni kweli ccm imetufikisha hapa 54 years 54 years, but who were among those who made tukafika hapa? Lowasa is the first one no lie, pia hakuna nchi yoyote duniani itaweza kupiga hatua bila ya mchango wa wananchi, je wewe hiyo miaka 54 umeifanyia nini Tanzania? Huku tukiuliza ccm imefanya nini, ili tuende sawa,
Hivyo basi lowasa hawezi kuleta mabadiliko yoyote, kwanza hana good background performance ambayo itambeba, sema wabongo tu ni washabiki!!!!
Wrong choice determine next 5 years.
# bora ushabiki wa Mpira kuliko wa kisiasa!
©University of Las Vegas Nevada!!
Rafiki, urais ni tasisi. Lowasa hatafanya kila kitu mwenyewe. Atakuwa kwenye system mpya. tatizo LA tanzania kwa sasa ni mfumo. Ikibadilika system twaweza hats kupata katiba ya wananchi ambayo ccm hawaitaki.
Ni vizuri pia tujue kuishi kwa busara, vijana wengi mapenzi yanawapotezea upeo wa kufikiri na kuchanganua mambo muhimu katika maisha, na kujikuta ama wanaandika au wanafanya vitu kwa mihemko na kupoteza kumbukumbu, kumbuka ewe kijana yoyote, kila unachofanya katika maisha au kwenye mitandao ya jamii, kinasadifu upeo wako, kuwa makini kwa faida yako kwan maisha yako ni wewe mwenyewe ndiye unayatengeneza. Asante
2010 rais jk alimsimamisha lowassa akiwa amemshika mkono na kuwaambia wananchi wa monduli
kuwa lowassa siyo fisadi kilichotokea ni ajali kazini.
Pia alisema lowassa ni mchapa kazi sana halinganishwi.wewe ni nani leo useme ni fisadi na siyo mchapakazi?
Tunamchagua fisadi na tajiri tunayemjua kuliko kuchagua anayejifanya safi na masikini kumbe ni fisadi, mwizi na jambazi tunayemjua na tutakayemjua!!!! Lugha hii ni ngumu ila wanaoelewa wataelewa.Hivi watanzania aliye waloga yuko hai kweli?
Huyo lowasa mchapa kazi mnasema ni sauti ya mungu, anahistoria gani nzuri katika hayo mnayo mpaka? Ama ufisadi nowadays ni uchapakazi?
Afu mambo yakianza kuwaendea kombo, wale wale wanaojiita wanamabadiliko ndo mstari wa mbele kulalamika!!!
Binafsi lowasa haezi kua Rais wa Tanzania, hivi watanzania wanaosema mabadiliko, yataletwa na lowasa ni kwa miujiza gani hata kama nchi ina rasilimali!!! Hivi jumuia ya kimataifa itatuchukuliaje?
Usitegemee any changes from lowasa, kama wananchi hawajitambui, then hata serikali ingegawa pesa even if you're not working, huwezi kupiga hatua, yeah!! Ni kweli ccm imetufikisha hapa 54 years 54 years, but who were among those who made tukafika hapa? Lowasa is the first one no lie, pia hakuna nchi yoyote duniani itaweza kupiga hatua bila ya mchango wa wananchi, je wewe hiyo miaka 54 umeifanyia nini Tanzania? Huku tukiuliza ccm imefanya nini, ili tuende sawa,
Hivyo basi lowasa hawezi kuleta mabadiliko yoyote, kwanza hana good background performance ambayo itambeba, sema wabongo tu ni washabiki!!!!
Wrong choice determine next 5 years.
# bora ushabiki wa Mpira kuliko wa kisiasa!
©University of Las Vegas Nevada!!
Hivi watanzania aliye waloga yuko hai kweli?
Huyo lowasa mchapa kazi mnasema ni sauti ya mungu, anahistoria gani nzuri katika hayo mnayo mpaka? Ama ufisadi nowadays ni uchapakazi?
Afu mambo yakianza kuwaendea kombo, wale wale wanaojiita wanamabadiliko ndo mstari wa mbele kulalamika!!!
Binafsi lowasa haezi kua Rais wa Tanzania, hivi watanzania wanaosema mabadiliko, yataletwa na lowasa ni kwa miujiza gani hata kama nchi ina rasilimali!!! Hivi jumuia ya kimataifa itatuchukuliaje?
Usitegemee any changes from lowasa, kama wananchi hawajitambui, then hata serikali ingegawa pesa even if you're not working, huwezi kupiga hatua, yeah!! Ni kweli ccm imetufikisha hapa 54 years 54 years, but who were among those who made tukafika hapa? Lowasa is the first one no lie, pia hakuna nchi yoyote duniani itaweza kupiga hatua bila ya mchango wa wananchi, je wewe hiyo miaka 54 umeifanyia nini Tanzania? Huku tukiuliza ccm imefanya nini, ili tuende sawa,
Hivyo basi lowasa hawezi kuleta mabadiliko yoyote, kwanza hana good background performance ambayo itambeba, sema wabongo tu ni washabiki!!!!
Wrong choice determine next 5 years.
# bora ushabiki wa Mpira kuliko wa kisiasa!
©University of Las Vegas Nevada!!
47pro utake usitake vijana walioitwa wapumbavu na malofa wote kwa ubora wao tayari wamesema kura zao kwa ukawa na lowassa. fisadi ni wewe unayeona chama chenu kimewapitisha wagombea waliopokea rushwa ya mabilioni na wale waliokamatwa na takukuru wakigawa rushwa. nyie ndio mmelogwa manake kila siku hamna jipya lowassa. Kataa ukubali Lowassa ni sauti ya Mungu na atazoa kura nyingi za wapiga kura. ninyi waiteni wanamuziki kwa makundi wafanye matamasha sisi tunafanya mikutano ya kampeni.