Hivi watanzania aliye waloga yuko hai kweli?
Huyo lowasa mchapa kazi mnasema ni sauti ya mungu, anahistoria gani nzuri katika hayo mnayo mpaka? Ama ufisadi nowadays ni uchapakazi?
Afu mambo yakianza kuwaendea kombo, wale wale wanaojiita wanamabadiliko ndo mstari wa mbele kulalamika!!!
Binafsi lowasa haezi kua Rais wa Tanzania, hivi watanzania wanaosema mabadiliko, yataletwa na lowasa ni kwa miujiza gani hata kama nchi ina rasilimali!!! Hivi jumuia ya kimataifa itatuchukuliaje?
Usitegemee any changes from lowasa, kama wananchi hawajitambui, then hata serikali ingegawa pesa even if you're not working, huwezi kupiga hatua, yeah!! Ni kweli ccm imetufikisha hapa 54 years 54 years, but who were among those who made tukafika hapa? Lowasa is the first one no lie, pia hakuna nchi yoyote duniani itaweza kupiga hatua bila ya mchango wa wananchi, je wewe hiyo miaka 54 umeifanyia nini Tanzania? Huku tukiuliza ccm imefanya nini, ili tuende sawa,
Hivyo basi lowasa hawezi kuleta mabadiliko yoyote, kwanza hana good background performance ambayo itambeba, sema wabongo tu ni washabiki!!!!
Wrong choice determine next 5 years.
# bora ushabiki wa Mpira kuliko wa kisiasa!
©University of Las Vegas Nevada!!

Hata jina la Raisi wako hujui sema LOWASSA THE KING.Hivi watanzania aliye waloga yuko hai kweli?

"good background performance" ndio nini. Si bora uandike kiswahili tu ueleweke?. Las vegas University? mmmhhh!!!,

Rubish... Kwanza wewe ni mbeba mabox ya Tanzania yanakuhusu nini
Mkuu ukisikia bhangi ndiyo hizo unamkuta mtu mzima anakuambia anataka mabdiliko ukimuuliza mabadiliko gani anakuambia CCM itoke madarakani hilo tu basi sasa mtu huyo huyo mfahamishe kwamba hata kufa ni ma
badiliko kukatwa mkono nayo mi mbadiliko kulala saa saba mchana nayo ni mabadiliko sasa Muulizeni edo anawaletea mabdiliko gani ambayo CCM haina hawana jibu basi naona mimi hawajui chochote wangejua siri ya edward na genge lake wangemuogopa kama ukoma hata hivyo watajua sikua anaapishwa Magufuli.
Umechelewa kila kitu...kuanzia kujitambua,exposure na mengine yanayofanana na hayo...mwaka huu mabadiliko ni lazima! Toroka kwenye ukoloni wa fikra uje!
ânonsense'
Mkuu ukisikia bhangi ndiyo hizo unamkuta mtu mzima anakuambia anataka mabdiliko ukimuuliza mabadiliko gani anakuambia CCM itoke madarakani hilo tu basi sasa mtu huyo huyo mfahamishe kwamba hata kufa ni ma
badiliko kukatwa mkono nayo mi mbadiliko kulala saa saba mchana nayo ni mabadiliko sasa Muulizeni edo anawaletea mabdiliko gani ambayo CCM haina hawana jibu basi naona mimi hawajui chochote wangejua siri ya edward na genge lake wangemuogopa kama ukoma hata hivyo watajua sikua anaapishwa Magufuli.
Ccm ikisepa ndipo mabadiliko yataonekana, miaka yote ni ahadi zisizo na tija. Tumechoka
Mkuu ukisikia bhangi ndiyo hizo unamkuta mtu mzima anakuambia anataka mabdiliko ukimuuliza mabadiliko gani anakuambia CCM itoke madarakani hilo tu basi sasa mtu huyo huyo mfahamishe kwamba hata kufa ni ma
badiliko kukatwa mkono nayo mi mbadiliko kulala saa saba mchana nayo ni mabadiliko sasa Muulizeni edo anawaletea mabdiliko gani ambayo CCM haina hawana jibu basi naona mimi hawajui chochote wangejua siri ya edward na genge lake wangemuogopa kama ukoma hata hivyo watajua sikua anaapishwa Magufuli.
Ni sahihi lakini wacha watende kama wanavyoamini juu ya hayo xmabadiliko hata kama ya kilaghai.