Lowassa: Kwa siku 100 nitafanya mambo 13

mwengeso

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
9,286
Reaction score
6,727
Gazeti la Mwananchi la Oktoba 2, 2015 limetoka na kichwa cha habari hapo juu. Nimeisoma kwa umakini na ninajiuliza na kujiaminisha kwamba utakuwa muujiza wa hali ya juu kufanikisha hayo bila kuwa na mapato yaliyo dhahiri. Ni ukweli kwamba katika siku 100 za kwanza hiyo Serikali haitakuwa imepata hayo mapato! Hesabu za mizania zinagoma kama ifuatavyo:

1) Uhakika wa dawa na vifaa vya uzazi wa akina mama - unahitaji fedha

2) Umeme wa uhakika nchi nzima - unahitaji fedha

3) Kupunguza foleni Dar - Kunahitajika fedha

4) Kuondoa kero kwa wafanya biashara wadogowadogo na waendesha bodaboda - kunapunguza pato

5) Kumaliza tatizo la maji nchi nzima - kunahitajika fedha

6) Mfumo bora na rafiki wa wafanya biashara wakubwa na wadogo - kutapunguza pato

7) Kufuta ada na michango kwa wanafunzi - fedha itahitajika kuziba pengo la mahitaji yaliyokuwa yanakidhiwa na michango hiyo

8) Kupunguza kodi ya mishahara kwa wafanyakazi - kutapunguza pato

9) Kufuta kodi zote za mazao ya wakulima - litapunguza pato

10) Mkakati wa kukuza michezo na sanaa - fedha itahitajika

11) Kuunda tume ya kutatua migogoro ya wafugaji na wakulima - fedha itahitajika

12) Kuanzisha kituo kila Wilaya kwa ajili ya kutoa huduma za Serikali

13) Kuboresha maslahi ya polisi, wanajeshi na walimu - kutahitajika pesa

TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 
Wewe huna jipya mkuu. Inaonekana ulisoma shule za kichawi. Peleka huko takataka zako
 
Nadhani hujamuelewa Mhe. Lowassa... una akili za masaburi!!
Hiyo ni Action plan na timeline ya utekelezaji....

Wewe unataka Rais wako Magufuli akiingia Ikulu afanyeje ndani siku 100..?? Awe kama Vasco da Gama ale bata...??
Shame on you..!!
 
Nimedodosa nikitegemea Team Lowasa itafafanua mikakati hiyo ili kushawishi wana jamvini kubadili misimamo yao ili wampe kura kumbe ni matusi tu, du! Basi post yangu ina mshiko na jibu lako linaelea.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Nadhani hujamuelewa Mhe. Lowassa... una akili za masaburi!!
Hiyo ni Action plan na timeline ya utekelezaji....

Wewe unataka Rais wako Magufuli akiingia Ikulu afanyeje ndani siku 100..?? Awe kama Vasco da Gama ale bata...??
Shame on you..!!

Action Plan huwa na "objectives, activities, targets, budget, and implementing agency)!

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
nani kakwambia nchi haina pesa? tatizo ni vipaumbele

Tueleweshe wewe (maana Lowasa hajasema na labda wewe ni msaidizi wake wa karibu) hizo pesa ziko wapi na zitapatikanaje ndani ya siku 100.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Tueleweshe wewe (maana Lowasa hajasema na labda wewe ni msaidizi wake wa karibu) hizo pesa ziko wapi na zitapatikanaje ndani ya siku 100.

TAFAKARI CHUKUA HATUA

Ahadi za magufuli ni zaidi ya Trillion 500 ushajiuliza atatoa wap
 
Mkuu wangu hao vijana wa IT centre Masaki ni weupe sana kichwani akili zao hazivuki fikra za pombe na ngono ndio maana reasoning na thinking yao ni very poor!!!
 
Ahadi za magufuli ni zaidi ya Trillion 500 ushajiuliza atatoa wap

kumbe Magufuli naye ni ndani ya siku 100 tu, sikulijua hili.

Ila angetaja mvua ya mabomu ndani ya siku 100 ningemuamini maana kabrasha lake analo ni kulitoa kwenye shelfu na kulifuta vumbi tu.
 
Wewe.anaweza kabisa.tuna mbuga za wanyama.tuna mlima kilimanjaro tuna tanzanite. Tuna gase. Tuna madini mengi nchini kwetu.misitu usiseme.uchumi wa kutosha.kwa nini asiweze.
 
Vitega uchumi vingi.ambavyo kwa sasa havina matunda.vinafaidisha wagebi badala ya wenyeji.fwatilia utajua.
 
Wewe.anaweza kabisa.tuna mbuga za wanyama.tuna mlima kilimanjaro tuna tanzanite. Tuna gase. Tuna madini mengi nchini kwetu.misitu usiseme.uchumi wa kutosha.kwa nini asiweze.

akitumia madini makubwakubwa na madogodogo hata siku 100 hazitaisha mambo yote haya yatakuwa yameipatiwa ufumbuzi. na baada ya hapo anabakiwa na kazi moja kurudisha uwekezaji aliofanya.
 
Gazeti la Mwananchi la Oktoba 2, 2015 limetoka na kichwa cha habari hapo juu. Nimeisoma kwa umakini na ninajiuliza na kujiaminisha kwamba utakuwa muujiza wa hali ya juu kufanikisha hayo bila kuwa na mapato yaliyo dhahiri. Ni ukweli kwamba katika siku 100 za kwanza hiyo Serikali haitakuwa imepata hayo mapato! Hesabu za mizania zinagoma kama ifuatavyo:

1) Uhakika wa dawa na vifaa vya uzazi wa akina mama - unahitaji fedha

2) Umeme wa uhakika nchi nzima - unahitaji fedha

3) Kupunguza foleni Dar - Kunahitajika fedha

4) Kuondoa kero kwa wafanya biashara wadogowadogo na waendesha bodaboda - kunapunguza pato

5) Kumaliza tatizo la maji nchi nzima - kunahitajika fedha

6) Mfumo bora na rafiki wa wafanya biashara wakubwa na wadogo - kutapunguza pato

7) Kufuta ada na michango kwa wanafunzi - fedha itahitajika kuziba pengo la mahitaji yaliyokuwa yanakidhiwa na michango hiyo

8) Kupunguza kodi ya mishahara kwa wafanyakazi - kutapunguza pato

9) Kufuta kodi zote za mazao ya wakulima - litapunguza pato

10) Mkakati wa kukuza michezo na sanaa - fedha itahitajika

11) Kuunda tume ya kutatua migogoro ya wafugaji na wakulima - fedha itahitajika

12) Kuanzisha kituo kila Wilaya kwa ajili ya kutoa huduma za Serikali

13) Kuboresha maslahi ya polisi, wanajeshi na walimu - kutahitajika pesa

TAFAKARI CHUKUA HATUA.

SIKU 100 ZITAMTOSHA KABISA
##KUPUNGUZA MATUMIZI YA HOVYO SEREKALINI ALMOST 30% HUTUMIKA KIPUUZI.
##KUSIMAMIA BANDARI YETU VEMA!KUMBUKA 16BILION HUIBWA KILA WIKI¡
##YAPO MAMBO YANAITAJI UTATUZI WA KI-PLAN TU,NA I.Q,NDOGO NDIYO INAKUWA TATIZO!
ii
 
Siku mia zitakuwa za kuwafundisha akina Sugu kuzifahamu wizara na shughuli zake.!
 
Gazeti la Mwananchi la Oktoba 2, 2015 limetoka na kichwa cha habari hapo juu. Nimeisoma kwa umakini na ninajiuliza na kujiaminisha kwamba utakuwa muujiza wa hali ya juu kufanikisha hayo bila kuwa na mapato yaliyo dhahiri. Ni ukweli kwamba katika siku 100 za kwanza hiyo Serikali haitakuwa imepata hayo mapato! Hesabu za mizania zinagoma kama ifuatavyo:

1) Uhakika wa dawa na vifaa vya uzazi wa akina mama - unahitaji fedha

2) Umeme wa uhakika nchi nzima - unahitaji fedha

3) Kupunguza foleni Dar - Kunahitajika fedha

4) Kuondoa kero kwa wafanya biashara wadogowadogo na waendesha bodaboda - kunapunguza pato

5) Kumaliza tatizo la maji nchi nzima - kunahitajika fedha

6) Mfumo bora na rafiki wa wafanya biashara wakubwa na wadogo - kutapunguza pato

7) Kufuta ada na michango kwa wanafunzi - fedha itahitajika kuziba pengo la mahitaji yaliyokuwa yanakidhiwa na michango hiyo

8) Kupunguza kodi ya mishahara kwa wafanyakazi - kutapunguza pato

9) Kufuta kodi zote za mazao ya wakulima - litapunguza pato

10) Mkakati wa kukuza michezo na sanaa - fedha itahitajika

11) Kuunda tume ya kutatua migogoro ya wafugaji na wakulima - fedha itahitajika

12) Kuanzisha kituo kila Wilaya kwa ajili ya kutoa huduma za Serikali

13) Kuboresha maslahi ya polisi, wanajeshi na walimu - kutahitajika pesa

TAFAKARI CHUKUA HATUA.
Kwa ccm haliwezekani,ila kwa ukawa hakuna kinachoshindikana.
Chagua lowassa ujionee maajabu.
El ndani ya miaka 2 alijenga shule za kata,udom,bandari kuanza kufanya kazi saa24,aliamrisha njia 3 kuelekea mjini na jioni kurudi.Jamaa mbunifu
 
Back
Top Bottom