Lowassa kutumia sh bilioni 70 kujenga gorofa 25 Dar City Centre!



nimekupata sawia kabisa mkuu ila mwanzoni kabisa umeniacha njia panda
nimeona jina la membe hapo anaingiaje hapa?:help:
 

hivi hapa mnajaribu kujustify wizi kwa mgongo wa kuwekeza hapa hapa nchini? kwa hiyo waibe tu ili mradi wanawekeza hapa hapa??:disapointed:
 
Nchi iko chini ya mafisadi. Watz tusipoamka hata kwa marungu tunaandaliwa kuishi kama kuku wa kisasa.
 
Nionavyo mimi na dhani watu hawa wanapesanyingi kiasi kwamba budget ya serikali inaweza kutosha kwa fedha toka mifukoni mwao! wonderful....hawa ni tycoon. Swali wamefikaje hapo?
 
The informer I can't agree with you more. There is nothing wrong with the kind of investment undertaken by EL and company. Here, the question or rather issue is how on earth is EL a civil servant, got such a huge loan facility? (assuming he got a bank loan)

JF present a platform where members exchange information in view of improving their understanding as well as country's social, economic,and technological status.

This issue present opportunities for Tanzania including civil servants to learn how EL has managed to get such finance.

So what I expect is for those of you who know how EL and company got them investment funds to share your understanding so others may benefit (assuming that his source of funds has nothing to do embezzlement of public funds and the likes.
 

Hiki ni kiwango cha chini sana kwa mtu kama wewe
 
Kwa hiyo basi corruption katika nchi sio kitu kibaya.... mradi fedha zake zitumike kuwekeza pale kwenye nchi corruption ilipofanyaika!!!! ufuuu nimechoka ....
 
Serikali yetu inatia aibu kwa kutowakamata hawa mafisadi wakiongozwa na Lowassa.
 
Kama mtu siyo fisadi inaweza kuwa rahisi kupata Kiwanja au nyumba mjini? Na benki itamwamini mtu ambaye siyo fisadi?
 
Kama ana-invest hapahapa Bongo haina shida. Mwache aendelee. Wanaoniudhi na Rostam na Manji wanao-invest nje ya nchi. Hao ndiyo wa kufa nao.

Kwa hiyo Gosbert unasema the end justifies the means? Or the greater and lesser evil? Ney, Mwizi ni mwizi tu na adhabu yake ni ile ile inayomstahili mwizi kwa mujibu wa sheria. EL kapata wapi 70 Bil? Fisadi mkubwa, mahali pake ni Segerea tu!
 

Mmoja wa Fisadi mkubwa ndani ya TZ ni yule anaeshangilia UFISADI. Hawa MAFISADI lazima wakamatwe na wahukimwe DEATH PENALTY. Kwa sababu UFISADI, ni mauaji dhidi ya maskini wanaokufa na njaa, maradhi, nk. Dawa ya FISADI ni DEATH PENALTY. Lowassa ziku zake zimeshafika, sasa hivi tunasubiri HUKUMU yake itekelezwe.
 
Kwa hiyo basi corruption katika nchi sio kitu kibaya.... mradi fedha zake zitumike kuwekeza pale kwenye nchi corruption ilipofanyaika!!!! ufuuu nimechoka ....

Wakuu mnielewe...jina la panya ni panya wala sio sili....RUSHWA NI MBAYA NA NI ADUI WA HAKI...DUNIA YOTE INAPAMBANA NA RUSHWA......Na ni kazi ya serikali kuweka intergrity system ya kutosha kupambana na rushwa....lakini kama ilivyo benki wakati wa kufanya credit rating huweza kutoa mkopo na ilatokea deni kujeuka acid...au bad debt....kazi ya benki ni kuminimise risk ya kupata wadaiwa sugu au mufilisi...lakini that is not a guarantee kuwa the bank will never experience bad debts...
The same to TAKUKURU Kazi yao ni kuminimise to a single degit percent ..uwezekano wa ufisadi kutokea nchini ........lakini that does not mean that they are jesus or mohamed SAW...patatokeo matukio ya ufisadi....LAZIMA NCHI IWE NA MFUMO WA KU TAP BACK PESA ZA UMMA ZINAZOPOTEA KUTOKANA NA UFISADI...KUNA NJIA MBILI.....au tatu.
1] KUTAIFISHA [we have proved failure tangu enzi za uhujumu ,1967,hata juzi EPA hatukuweza kufanikiwa kuzitaifisha au kufanya zilipwe]-madhara yale waliobaki wote watazitorosha au kuharibu...watu miaka ya uhujumu walikuwa wanachoma ma godown..au kutupa..
2]KUZIACHIA ZIRUDI KWENYE MZUNGUKO WA FEDHA [....Blind eye...hapa serikali inakuwa inajuwa lakini inaaangalia kwa karibu....-role ya secret service...kuhakikisha pesa hazitoroshwi]...njia rahisi ya kuachia pesa zirudi ni uwekezaji
3] Kuwashitaki mahakamani.....moja kwa moja .[inaitwa tukose wote....mtu afungwe]

Tukifanikiwa kuzirudisha pesa zote zilizoibiwa kwenye mzunguko na hapo hapo kuziba mianya ya rushwa tutaweza kupunguza hasara
 
samahanini kidogo waungwana nimesoma maoni yenuuuu......yanatia uchungu ghadhabu,ila nimeona hakuna suluhisho,tuna data /taarifa nzuri sana ,vidhibiti,lakini hakuna tulichoweza kuwafanya,.............................apart from that nimeingia kwenye program moja encata nikajaribu kuangalia alipata hizo hela kwa mda gani kama alikua mjasilia mali wa kawaida,yaani kama alisave 10milion kila mwezi alitumia miaka 2000 kuipata 70billion,.....kama alisave 100milion kila mwezi alitumia miaka 205,/sasa atalipa kiasi gani kila mwezi kumaliza hilo deni changanya na riba,........hizi fedha ni nyingi mno hatuwezi kumfanya chochote wakati wengine tunalala na njaa/tungemshauri tu atujengee hata viwanda basi uchumi uwe ahueni......................Tanzania ni nchi inayoongoza na rushwa Mapinduzi mpaka wote tuamue kwenye sanduku la VOTE/LABDA NDILO TUNALOWEZA.....................NI YA KWANGU HAYO
 
Hii thread ina upotoshaji wa hali ya juu sana. Mmeshikiia bango kuwa Lowassa kakopa/hajakopa lakini hakuna ata mmoja aliyeleta ushahidi wa kutetea madai yake.

** Sani Abacha aliiba kati ya $ 2.2 - 3 billion , serikali ya Nigeria imerudishiwa $ 1 billion kati ya 1999-2002.Swiss banks to return $1 billion in funds allegedly embezzled from Nigerian government | Jet | Find Articles at BNET

Kuhusu Mobutu walikuta $ 3.5 million baada ya kumfanyia uchunguzi. CNN - Swiss banks find only $3.4 million in Mobutu assets - June 3, 1997
 

Mnajadili huku mmesahau Mzee wa Vijisenti CHENGE alikwisha wambia mlivyo ona ni vijisenti tu, siku mkiona "hela je". Sasa hizo 70 bl siyo ndo zote alizonazo EL ziko zingine nyingi tu. Na ikitokea mkaziona za Vasco da Gama mtatamani mfe!
 
Lol Tanzania tuna secret service? Serikali ya Tanzania ikitaka hela zote zilizotoroshwa nje ya nchi isivyo kihalali zirudishwe zitarudishwa tu.
 
Mmesahau kwamba Tanzania ni nchi ya mazingaombwe. Wewe uliona wapi rais Mwizi yuko madarakani wakati hakuchaguliwa na walipa kodi? Na bado kuna vifisadi dagaa vimejaa tele hapa kila uchwao vinatetea maovu. Lakini walipa kodi sio wajinga kama vile wanavyofikiria time will tell.
 
 
AFRICAN LEADERS STUCK MILLIONS OF STOLEN USD IN SWISS BANKS:-Accra, April 27, GNA - About 400 African Leaders including Nigerians and Ghanaians have stacked up huge sums of stolen money in Swiss Banks, five Journalists, who have just returned home after an extensive tour of Switzerland, have said.

They said the Leaders used the names of their children, friends, relatives and even bodyguards to open such accounts, a statement issued by the Private Newspaper Publishers Association of Ghana (PRINPAG) on Wednesday said.

The statement, which Nii Laryea Sowah, Executive Secretary of PRINPAG signed, said this came to light when the Journalists held discussions with the Executive Board of the Swiss Bankers Association. It said the Journalists appealed to the Swiss authorities to facilitate the return of the funds to Africa to develop the Continent.

The Swiss, however, blamed African Leaders and other high-ranking personalities, whom they referred to as "politically exposed persons", who had stashed away monies in Swiss banks over the years.

They appealed to the Journalists to focus on other countries since such stolen monies could also be traced to various banks in countries like the United Kingdom, United States of America, Germany, France, Japan, Luxembourg, Austria, Belgium and the Scandinavia countries. The statement expressed gratitude to the Swiss Government for sponsoring the five Journalists to undertake the nation-wide working tour of Switzerland.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…