Lowassa kutoondoka CCM

Lowassa kutoondoka CCM

Consigliere

Platinum Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
12,689
Reaction score
26,571
Tangu jina lake kuwa la kwanza kukatwa na kamati ya maadili kati ya wagombea 38 waliojitokeza kutangaza nia ya kupeperusha bendela ya chama hicho katika kuwania nafasi ya urais, Kumekua na matamanio, mijadala, tabiri na hata dua kadhaa zikiendelea katika siasa za siasa na makundi kadhaa ndani ya nchi hii. Matamanio, dua, na tabiri hizo zote ni juu ya aliyekuwa mtangaza nia ndani ya CCM, Edward Ngoyai Lowasa. Ambapo kuna watu wanatamani atangaze kukihama chama cha Mapinduzi, kuna watu wanaishi kama vile wamesimama wakiwa wamejishika au kuziba sehemu zao za siri wakiomba (Kama wafanyavyo wachezaji au mashabiki kipindi timu pinzani ipatapo penalt kwa imani kuwa akose, yaani asije mpigaji akafunga) asije akafumbua mdomo wake katika wakati huu, labda baada ya wakati huu, lakini si wakati huu.

Kukatwa kwa Lowasa kumeacha maumivu kwa watu wengi sana(?), watu hao ni wale waliokuwa wamepewa somo wakasomeka na kujazwa matumaini makubwa sana, na wengine ni wale walipewa majukumu wakayafanya kwa uaminifu wa hali ya juu na kujituma kwa bidii sana, kuna waliotangulizwa sehemu huku wakiwa wamepewa pocket money kwa kadili walivyoomba ili 'wakaandae' makao iwapo huku yatatokea yasiyotarajiwa, masikini watu hawa hawakujua kuwa wao si sehemu ya timu bali ni sehemu ya mkakati wa wengine kujijenga. Tulioliona hili tangu awali tulishangazwa na ujasiri wa watu hawa kwa namna walivyoamua kuchagua kushindwa mapema na kwa kishindo.

Ilipobainika dhahiri kuwa ni lazima jina la Edward litakatwa na baadhi ya wanaomuunga mkono kuanza kurudi nyuma ndipo Edward alipoibuka kwa style mpya, style hii ilikuwa ni kuwatisha wale wote walioanza kurudi nyuma au kujitoa katika mapambano, style hii wengi waliitafsiri kama vile ni kukitisha chama chake mwenyewe, lakini haikuwa hivyo bali, ni kuwadhihirishia na kuwatunishia misuli wale walioasi au wenye mashaka na safari yake kuwa bado ana nguvu. Aliendelea na vitisho kwa wenzake matokeo yake chama kikatishika, kitendo cha chama kuonyesha hofu dhidi yake binafsi hakutarajia kabisa hilo la chama kutishika, matokeo yake furaha mpya ikachipua moyoni mwake akiona dhahiri kuwa bila ya kutarajia ameua ndege wawili kwa jiwe moja.

Turejee katika kuakisi kichwa cha habari cha thread hii. Ukweli ni kuwa Edward hajawaza kabisa kuhusu kuondoka CCM, wengi wanaona kuwa vita imekwisha, sivyo kwa Edward, CCM wameamua kumpuuza ingawa wengine wangali wamejiziba sehemu zao za siri kwa mikono (ingawa wamevaa nguo). Utendaji wa Kinana na Mangula umemkuna sana Edward kiasi cha kuvutiwa sana na utendaji huo na sasa ameanza kufikiria namna ya kujipanga kwa ajili ya nafasi ya Mwenyekiti wa CCM taifa. Amevutiwa kwa namna ambavyo Kinana alivyokuwa na sauti katika mambo mbalimbali hata kuingilia utendaji na maamuzi ya serikali, na hata kutoa maagizo kwa mawaziri ikiwemo kuwaita wakurugenzi na kuwapa maagizo au kubatilisha masuala kadhaa, hapa pamemvutia na pameshawishi. Hili limemfanya Edward kuanza kupanga upya karata zake ambazo alikaribia kuzitupa motoni. Edward, ingawa anasemekana kuwa amezoea kushindwa lakini si mwepesi kama inavyofikiriwa ana roho ngumu na mikakati hatari sana. Hili la namna gani asivyo mwepesi kushindwa nadhani wengi walilishuhudia hivi karibuni wakati jina lake lilipokatwa na kundi lake kuamua kupingana na maamuzi ya mkataji na kumuweka yule ambaye mkataji hakumtaka, mwisho wa siku kibao kikasomeka kuwa Mkatwaji na Mkataji wote walikosa, ingawa Mkataji ana mengi ya kuhofia kuliko Mkatwaji.

Muda si mrefu Edward ataanza kukisaidia tena chama kwa shingo upande huku akitabasam lakini si kusimama mstari wa mbele vitani bali kwa style ile ile ya kukaa kimya na kuacha watu waendelee kutafsiri watakavyo. Anajipanga kuja kusimama kwa ajili ya nafasi ya mwenyekiti wa CCM Taifa kipindi ambacho mwenyekiti wa sasa atakapokuwa akihitimisha muda wake. Amejipanga kuhakikisha anaitumia nafasi hii vizuri ipasavyo, maana atakapofanikiwa kuchukua nafasi hiyo basi hapo yeye ndiye atakayekuwa 'rais' na ikitokea rais akakaidi matakwa ya mwenyekiti, what gonna be next is everybody's guess.

Katika harakati zake hizi mpya kuna mtu anamuondolea uhakika wa kufika pale anapotaka kufika, kati ya watu ambao Edward ameshindwa kabisa kupata mkakati wa kusimama nao katika nchi hii si mwingine bali ni Benjamin Wiiliam Mkapa. Edward anaweza akashauriwa na world class people lakini kama the opposing side yupo Ben hapa huwa jasho linamtoka, ni huwa anapoteza ujasiri bila sababu yoyote ya msingi au ya kisayansi ni kama mbwa mbele ya chatu au mimi juu ya kifua cha 'msichana nimpendae'. Namna gani atamshawishi au atamshinda huyo jamaa, hiyo itabaki kuwa take home asignment yake na ni nafasi ya washauri wengine kula hela kuhusiana na hilo.

N.B.

Suala la urais lisisomwe au lisichukuliwe kama lilivyoandikwa, maana nimeliandika katika mazoea ya kuwa mgombea wa CCM ndiye rais ajaye, ili kuweza kujenga picha ya uzi huu. Hivyo basi hili haliakisi uhalisia wa hali ilivyo kwa sasa. Suala la urais is a topic for another day, ingawa kwa kudokeza tu ni kuwa sasa hivi CCM imejiandaa kupoteza bila kufahamu, CCM wameandaliwa hivyo, na wameonyesha kuwa kuwa wapo tayari na inawezekana.
Nchi yetu ina mambo na maajabu yake, ina watu wa kufikirika na very strategist when it comes to national interests.
 
Posti haina mantiki kabisa.
Ni sawa na kusema baada ya shetani kushindwa kuuteka mwili, sasa anaweza kuishinda roho.
Suala la kufikirika tu hili.
Kama EL hafai kwa serikali kimaadili, sasa atakuwa na maadili gani kuwa kiongozi wa jopo la maadili.
Doesnt make sense!!!
 
Hata mimi ningejibu na kuona kwa namna ilivyo kwako
Ila bahati mbaya sana, kama unatafuta senses be reminded that Nothing makes sense in Politics!!
 
Ni afadhali hivo, maana threads za Lowasa kuhama CCM zimekua nyingi
 
ngoja tusubiri wacheza karata wacheze. sisi tupo nje tunaangalia mchezo tuone nani na upande upi utacheka...
 
Subiri jumapili ndio utamjua Edward ni nani?
 
"Tangu jina lake kuwa la kwanza kukatwa na kamati ya maadili kati ya wagombea 38 waliojitokeza kutangaza nia ya kupeperusha bendela ya chama hicho katika kuwania nafasi ya urais". Hivi ni kweli alikuwa wa kwanza kukatwa kati ya hao wote?
 
Mkuu hayo uliyoyaandika ni mawazo ya kufikirika kabisa. Level aliyofikia ENL si ya kuwa mwenyekiti wa chama. Yeye yuko katika level ya self actualization. Uenyekiti wa chama hauwezi kumweka meza moja na the likes of Obama, Xi Jinping, Putin, Assad na wengineo. Sioni ENL kutimiiza ndoto kwa kuwa mwenyekiti wa chama. Namwona kama mtu anayeumia ndani kwa ndani akiwa amebeba mzigo mzito moyoni huku akitamani sana chama chake kishindwe uchaguzi ili yeye aibuke shujaa. Pia ukimya wake una kishindo kikuu unawezakuta kuna mambo anayaenndesha chini chini yakaja kuwa revealed within a short time.
 
Unafahamu nini kuhusiana na strategies? unafahamu mipaka ya strategies ni ipi?
 
Mtoa Hoja, 10 days later just curious what happened?

Lol anasubiri watu msahau ndio arudi.
Haimaanishi kuwa kila itokeapo huwa ni sehemu ya mkakati. Ndiyo maana Prof. Mwandosya alipata kusema masaa 24 ni mengi sana kwa mwanasiasa.
Hata baada ya kutokea unaweza kuona namna amnavyo hali haijatulia na kusababisja ufa na sintofahamu. Zakumi sihitaji watu wasahau maana nilikua sipigi ramli, bali nilikua naongelea mkakati uliokua mezani kabla hajachanwa na kuamuliwa mpya.
 
Last edited by a moderator:

Don't worry. It's all good. We can't prevent this flood with our bare hands. Can we?
 
Uzi mrefuuuuu hauna tija ni kutuchosha tu, haya kahama sasa yupo Chadema Uzi ufungwe hauna mantiki tena
 
Back
Top Bottom