Lowassa kutikisa Dar Jumapili hii

Status
Not open for further replies.
Lowasa 'moto' but DR SLAA 'maji' it wil b known,let us wait!
 

Sio busara kukaa kwake kimya kujibu kashifa bali ana kashifa nyingi na za kweli hazijibiki jibu kaamua kukaa kimya
 
Kwa kifup presda lazima atoke kaskazin no matter is this or Slaa.
 
tusihofu mbio za lowasa ila tujiulize atainusru ccm na umackin wa nchi hii?
 
Kaburi la CCM ni mgombea Lowassa.....CDM itapita mteremko kama kumsukuma mlevi......Eee baba tupe Lowassa tuzike CCM
 
Jamaa ananguvu ya ajabu akipita karibu ya hata kama ulikuwa unamchukia unaanza kumsifia na kumpigia makofi huyo ndio mamvi
 
May God, naanza kupata woga juu ya Lowassa.
Hv itawezekana watu mara hii wamesahau madhambi ya Lowassa, na wanaendelea kulitajataja jina lake kwa presidency?
Tumekwisha.

Jiandae kisaikolojia
 
Lowassa ni mziki mzitooooo hata mama salma anajuwa,ila kweli nimekubali shukran za punda ni mateke,et mama salma naye anampinga lowassa,hv akumbuki lowassa ndiye aliyemtowa kuleeeeeee,akumbuki alivyokuwa kapaukaaaaa utadhan ajui hata mafuta nn
 

Akafie mbele huyooooo hana jipya
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…