CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
Jamani mambo mengine sio lazima upewe Report na taasisi zinazofanya utafiti ndio uamini, muda mwingine tutumie akili za kuzaliwa tu kupata majibu.
Ni ukweli usio na kificho kuwa Lowassa atashinda uchaguzi mapema sana na kwa tofauti kubwa sana ya kura dhidi ya Magufuli. Hii anatoka na namna Lowassa anavyokubalika na watu wote. Mfano, kwenye daladala wanajadili Lowassa, vijiweni wanajadili Lowassa, sokoni Lowassa, vyombo vya habari Lowassa, mitandao ya kijamii Lowassa yaani kila mahali Lowassa hadi CCM wanajadili lowassa. CCM kanunueni gazeti mjipepeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!