Lowassa kurudi Monduli akikosa Urais?

Lowassa kurudi Monduli akikosa Urais?

kighuku

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
310
Reaction score
61
Wanajamvi naomba mnisaidie hasa hasa wanaCCM. Je, unaruhusiwa kurudi jimboni kwako endapo ukibwagwa kwenye kinyang'anyiro cha kumsaka mgombea urais ndani chama?
 
Atakua hapa

icu2.jpg


Hii room inasubiri Lowasa
 
  • Thanks
Reactions: J C
Ataenda kukaa dodoma nyumbani kwake uraisi asahau kabisa.
 
Msituni hawezi kwenda, rafiki yake Komba alishatangulia
 
Wanajamvi naomba mnisaidie hasa hasa wana ccm je unaruhusiwa kurudi jimboni kwako endapo ukibwagwa kwenye kinyang'anyiro cha kumsaka mgombea urais ndani chama?

inaruhusiwa kabisa, ndio maana mwandosya alirejea kwenye ubunge
 
Watu wa monduri hawana tofauti na watu wa igunga kwa kupenda mafisadi
 
inaruhusiwa mkuu. mwandosya ni mfano mzuri sana
 
Wanajamvi naomba mnisaidie hasa hasa wanaCCM. Je, unaruhusiwa kurudi jimboni kwako endapo ukibwagwa kwenye kinyang'anyiro cha kumsaka mgombea urais ndani chama?
Yes ,ataenda kuchunga ng'ombe wake 800!
Na ataanza safari yake nyingine ya matumaini kuelekea Mvomero!!
 
Back
Top Bottom