Lowassa kupigwa chini tena

Mkuu mwaka huu kama tume itafanya kama ilivyosema na simu zipo matokeo tutakuwa nayo ya rais kwa kila kituo, kata, jimbo Wilaya na mkoa mapeema kabisa , na tutakuwa tunajua nani anaongoza mkoa fulani na kwa kura ngapi. Kama tukijiridhisha kuwa CCM imeshinda kihalali mkuu hakuna fujo yoyote itakayotokea. Fujo itatokea kama matokeo yaliyokusanywa vituoni yanaonyesha mshindi fulani lakini matokeo yanatangaza mshindi tofauti. Sisi wote ni Watanzania na tunaamini kuna maisha baada ya uchaguzi, chondechonde CCM kubalini matokeo.
 
Nikikumbuka mikwara ya kule Dodoma kwenye vikao vya uteuaji duh! team Lowassa kwa mikwara hawajambo.!
 
Mmezoea kutengenezewa hadi PhD. Kaulizeni nani kamsaidia kupata PhD pale Mlimani.
 
Yaani makomeo hajapewa inch amesha anza ukigeu geu, anawambia vijana wasikimbilie mabadiliko, mara makomeo for change(tena ya kuiba na PHD yake juu nahisi hata darasani alikuwa mtaalamu wa kudesa)....
 
Magufuli is right choice but in a rotten cctm
 
HUYU NDIO MAGUFULI:
"Uwajibikaji ndio suluhisho la wazembe,nitajenga utamaduni mpya wa uwajibikaji,kutakuwa hakuna kusamehana,kubebana wala kujuana.Nitaimarisha mfumo mzima wa utumishi wa umma ili kuiwezesha serikali kuwatumikia wananchi lakini pia kurahisisha utoaji adhabu kwa watakaozembea badala ya kulindana na kuunda tume na kamati zisizo na tija"
 
WASHAANZA MAZOEZI; WATATUUA KAMA SERIKALI ISIPOWAZIBITHI
Kama hujui tamaduni za watu kaaa kimya, kwa akili yako hapo unaona watu wako ki shari!! wakati ndio kwanza wanajiriwaza kwa ngoma baada ya kutiwa umasikini na ccm??eti kilo moja ya pamba tsh. 600,wakati muwa tu uliopandwa nyuma ya bafu kipande tu 1000!!!eti mna nia nzuri na wananchi!!!!
 
CCK ni mke wa UKAWA, ! Maana wanaweke ndio wanashabikia ccm, na wanaume wanashabikia UKAWA. HIvyo 25th October 2015, lazima ndao ifungwe....

CCM mjiandae kuchukua bakora za kutosha......full pingili
 
Reuters

Ahsante kwa kuipa Promo UKAWA kwani hata mtoto wa Chekechea anajua M4C ni Brand Name ya CDM.
 
Last edited by a moderator:

Nimeamini CCM imepoteza uelekeo,MAGUFULI CHALIIIIII KIFO CHA MENDE
 

bado mko gizani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…