Lowassa kumzuia Serukamba Ubunge

matayarisho ya kugawa vyeo kama njugu hasa kwa wanamtandaí yameanza...

kupata rais asiye jiamini kwa uwezo wake kuongoza nchi bali kutegemea mitandao iliyompeleta madarakani ni sawa na kupeleta taifa jeanamu, wapo wengine kama chengu alijitokeza kumdhamini shinyanga,yupo mbunge wa shinyanga mjini ambaye hana jimbo tena chadema wameishalishika,na wengine wengi hawajajitokeza ili wanatoa pesa na kuchora diri za kuwahujumu wagombea wengine wazuri,mtokeyo yake ni nini baraza la mawaziri washikaji watendaji wakuu wa serikali washikaji,kuwajibishana kukowapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…