Lowassa kumzuia Serukamba Ubunge

Serukamba chapa mzigo,acha mazombi walonge ,keep it up..msikilize edward kwa masikio yote,believe me and believe him,cheers.
 
Lowassa hana mpinzan ndan na nje ya CCM ktk mbio za Urais tz 2015,anaepinga aweke mgombea wake tumpime na mzee wa maamuzi,
 
Hii nchi haitaangukia mikonono mwa wakala wa nchi za Magharibi, Lowassa amezungukwa na madalali wa rasilimali za Watanganyika kama vile Nimrod Mkono,Andrew Chenge na Rostam Aziz. Wazalendo wa taifa hili tutasimama imara kuhakikisha hii nchi haiwi koloni la nchi yoyote ile,hili ni taifa huru na litaendelea kuwa hivyo.Madalali na wapiga dili hamna nafasi katika utawala wa awamu ya tano.
 
Wamepanga kumwachia Zitto!! wanahangaika tu hawa!!!
 
huyu si ni mfungwa tarajiwa au inakuwaje aahidi watu vyeo ile hali mfungwa tarajiwa???
 
CCM wote ni MAFISADI hamna msafi, kura yangu kwa CCM labda wamsimamishe Mzee Warioba tuu.
 

mkuu hii habari inafahamika dunia nzima , tena kitambo tu !
 

Umechelewa kidogo kung'amua hilo suala ila si mbaya sana.
 

mbn unaweweseka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…