Lowassa Kumwanika Profesa Lipumba

Hatuendelei kwa sababu ya kujikita kwenye mijadala isiyo na tija. Sasa hapa tunajadili nini na for what benefit. CUF waachwe wamalizane na profesa wao uch....a sisi tujadili namna ya kusaidia uchumi wetu binafsi na wa nchi yetu kusonga mbele.
 
Lipumba mambo yake yanaharibika vibaya sana sanaaaaaaaa...!! kama yuko Jehanam sasa hv... kila kitu anachofanya sasa hv kinafeli..!!

Duuuh..!!
 

Lowasa si mropokaji kama we nyangau
 
Hivi kumbe lowassa nae huwa anaongea na watu wanamsikiliza na kumuelewa?
 
Kuna nyumbu humu jf huwaambii kitu kuhusu huyo jamaa, wenyewe wanamuita "rais wa mioyo yao" hawa jamaa si wazima kabisa
Basi mtu anayemsapoti lowasa ni halali yetu tukampigia yowe za mwizi na kupondwa na jiwe, marungu na mapanga mpaka afe!
 
Lipumba mambo yake yanaharibika vibaya sana sanaaaaaaaa...!! kama yuko Jehanam sasa hv... kila kitu anachofanya sasa hv kinafeli..!!

Duuuh..!!
Nawashangaa wanaochoma moto vibaka mtaani huku wakimwacha mtu FISADI lowasa akikamua mtaani said by................
Ukinijibu basi na wewe ni shujaa JF
 
Katika taasisi yenye muundo wa kuwa na Mwenyekiti na Katibu maamuzi hufanywa na chombo chenye mamlaka hayo kama Kamati Kuu au Kamati Tendaji. Majukumu ya Mwenyekiti ni kuongoza vikao ambavyo hutoa maamuzi. Majukumu ya Katibu ni kuitisha vikao kwa idhini ya Mwenyekiti. Pia hufanya kazi za utendaji pamoja na utekellezaji wa maazimio na maagizo ya chombo husika. Je katika suala hili misingi ya uongozi bora wenye kuzingatia uwazi na uwajibikaji ilifuatwa?
 
Hivi, mbona jazba kibao? Ooh Lowasa fisadi. Mbona msimfungulie kesi? Lipumba si alijiuzulu mwenyewe? Si tulimwona kwenye picha akimkaribisha Lowasa Ukawa? Mbona Lipumba alipokimbilia Rwanda kwa siri lakini ikajulikana hakusema haya anayosema sasa?
 
Lowasa huwa hana maneno mengi kama hayo ccm mnayolazimisha kumlisha.
Hivi bado tu hamjajifunza kitu kutoka kwa huyu Mzee mpaka sasa au ndiyo assignments za Lumumba zinawavua ufahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…