Kama anafukuzwa mtujuze mapema ili tumpangie namna nyingine ya yeye kukomboa hii nchi.
Wewe unataka nini nasikia kafukuzwa juzi toa msimamo wako sasa kama unajinyonga au unasubiri kidogo.Kama anafukuzwa mtujuze mapema ili tumpangie namna nyingine ya yeye kukomboa hii nchi.
Ok,kumbe mzee naye anatoka kulekule ndiyo maana wanakomaa naye kumbe wanalao jambo limejificha.Ndiyo karata peker chadema mmebakiza kama agenda. Subirini mzalendo ZITTO atawanyoosha vizuri sana
Kama anafukuzwa mtujuze mapema ili tumpangie namna nyingine ya yeye kukomboa hii nchi.
siku lowasa anafukuzwa
huo ndo utakuwa mwisho wa maccm
njaa njaa, kupenda vya kupewa bure vinamadhara sana. Kama hili jamaa limepewa mikate kanisan na EL sasa hvi linaona ndio Mungu wake
siku lowasa anafukuzwa
huo ndo utakuwa mwisho wa maccm
Tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo Dodoma katika kikao cha CCM ni kuwa Waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea Urais hapo 2015.
Inasemekana awali wajumbe waliomhoji walipendekeza apewe adhabu ya kutokugombea kwa muda wa miezi 18, jambo ambalo lingemfanya kushindwa kugombea katika uchaguzi ujao.
Naendelea kufuatilia details nitazileta mapema nikithibitisha maana kikao kilikiwa bado kinaendelea.