Ptuuu...ni kufikiri gani huku???? Ni Watanzania mamilioni mangapi wako hapa jf..na ni wangapi wanaweza kununua hizo iphone??achana nayo fanya mambo mengne.
maisha magumu unakesha j.miii forum ??
maisha magumu soko la kina iphone. samsung na magar ya bei yamejazanaa foren??
mnataka maisha gan nyinyi ???
unadhan chadema itakuja kutatua matatizo yak ya familia.????
hahahah nifah beiby
Hii ni nchi ndugu yangu. Haijaribiwi kwa benefit of doubt. Who will be his victim? Thought of Mwakyembe, Sitta or common wananchi. Lowassa anatakiwa aanze kuyajibu maswali yetu na anafaham wenye mashaka kwanini hawataki kumchagua. Anafaham uchafu wa nchi hii kwa sababu alikuwa ndani ya mfumo. Asimame na aanze kutueleza uchafu ule na namna ya kuusafisha kama anauwezo huo. CCM wanamfaham vilivyo akifungua mdomo wake watamueleza kila lililo lake. Baada ya miezi 3 kama atashindwa uchaguzi, Lowassa atakubali historia imuandike kwamba alikufa amevaa gwanda?Tusubiri tuone...acha tumpe benefit of the doubt
Huyo lowassa alikuwa wapi? Unafiki huu wa kiwazimu kweli, Halafu hana cha kusema ila tu ntawafanya Watanzania matajiri kwa njia ipi? Holaa hakuna anachojua zaidi ya ajira ni bomu na ntawafanya watz matajiri, nyumbu hata hawawazi utajiri huo utatoka wapi
Ishakuwa league....unataka tuendelee kuwapa nchi huu ukoo wa panya. Hatufanyi kosa hilo tena...miaka 50 ya wizi wa CCM watosha sana.Hii ni nchi ndugu yangu. Haijaribiwi kwa benefit of doubt. Who will be his victim? Thought of Mwakyembe, Sitta or common wananchi. Lowassa anatakiwa aanze kuyajibu maswali yetu na anafaham wenye mashaka kwanini hawataki kumchagua. Anafaham uchafu wa nchi hii kwa sababu alikuwa ndani ya mfumo. Asimame na aanze kutueleza uchafu ule na namna ya kuusafisha kama anauwezo huo. CCM wanamfaham vilivyo akifungua mdomo wake watamueleza kila lililo lake. Baada ya miezi 3 kama atashindwa uchaguzi, Lowassa atakubali historia imuandike kwamba alikufa amevaa gwanda?
Ishakuwa league....unataka tuendelee kuwapa nchi huu ukoo wa panya. Hatufanyi kosa hilo tena...miaka 50 ya wizi wa CCM watosha sana.
Kuhusu uchafu alianza jana. Subiri kampeni zianze mtatafuta pa kujificha.
Tatizo misingi yoote ilikuwa imejengwa na upinzani imevunjika kwa haraka saana. Sina pa kuipeleka kura yangu. Haiwezekani hotuba zote zile leo ni kazi bure. Tatizo kwenye UKAWA kuna PANYABUKU. Panya hili hutafuna kila kitu.Ishakuwa league....unataka tuendelee kuwapa nchi huu ukoo wa panya. Hatufanyi kosa hilo tena...miaka 50 ya wizi wa CCM watosha sana.
Kuhusu uchafu alianza jana. Subiri kampeni zianze mtatafuta pa kujificha.
Unamaanisha nini? Kwamba Watanzania tukiamua kwa pamoja hatuwezi kuing'oa CCM madarakani?
Hivi wakati lowasa yupo PM kwenye senate walikua hawafuati ushauri wake?
Bado watanzania hawajaona umuhimu wa siasa na wanalazimishwa kushiriki siasa ila hawako tayari, wewe huoni siasa inazungumziwa kwenye vijiwe vya kahawa tu? hao mnaowaona kwenye maandamano sio wapiga kura.
Badilisha hiyo id haraka, haiendani na huu ujinga ulioandika hapa.
Nachelea kusema kua bado hujaamka, na wala hutaki kuamka.
Nibadilishe ID iwe ya username gani na ili iweje? mimi ni mjinga ninayejua sijui, haya nieleweshe huo ujinga uliouona maana mjinga anahitaji elimu tu ili kujua asichojua.
Nibadilishe ID iwe ya username gani na ili iweje? mimi ni mjinga ninayejua sijui, haya nieleweshe huo ujinga uliouona maana mjinga anahitaji elimu tu ili kujua asichojua.
Jenga hoja yenye mashikotukutane october
vyote unavyolilia avina maana.
Siku hizi mumetupa nguo zenu za zamani kuficha aibu ya mafuriko mumekuja na nguo mpya lakini ni wale wale. Njooni na za zamaniTatizo misingi yoote ilikuwa imejengwa na upinzani imevunjika kwa haraka saana. Sina pa kuipeleka kura yangu. Haiwezekani hotuba zote zile leo ni kazi bure. Tatizo kwenye UKAWA kuna PANYABUKU. Panya hili hutafuna kila kitu.
Multiple id's za Lumumba hizi baada ya tsunami wamekuja kivingine kutetea uovu wa miaka zaidi ya hamsiniBadilisha hiyo id haraka, haiendani na huu ujinga ulioandika hapa.
Nachelea kusema kua bado hujaamka, na wala hutaki kuamka.
Aliyetupa nguo za zamani ni Lowassa. Kajificha kwenye magwanda na hayawezi ameishia kuvaa nguo za blue. Miezi mitatu ijayo atawaomba radhi CCM. Hatuna sababu ya kumwamini. Ninamsubiri Lowassa kama ataweza kurusha kombora hata moja kwa serikali kama hataishia kuzungumzia ILANI. CCM wanamjua na watamvua shati lake huyu.Siku hizi mumetupa nguo zenu za zamani kuficha aibu ya mafuriko mumekuja na nguo mpya lakini ni wale wale. Njooni na za zamani