Lowassa, Karume - timu ya ushindi 2015

Lowassa, Karume - timu ya ushindi 2015

No No!!! ni DR. HUSSEIN MWINYI (Mgombea Uraisi) na B. MEMBE (MGOMBEA MEZA) full Stop. Mamvi atasubiri sana hata mwenyewe anajua hili
 
CCM wanaona mbali sana mkuu wameshapanga kila kitu na hiyo ndo safu ya ushindi ila si KARUME ni MWINYI na LOWASSA
 
CCM WANAMBINU NYINGI ZA USHINDI WAKIWEKA YEYOTE ATAPITA TU.:wof:
By;K.JUNIOR
 
Nyie mambutwai sana tena wakupindukia ,CCM hata waweke punda au jibwa watashinda ,najua mlichokikosa katika kuchanganua kwenu ni kitu gani hawa MaCCM wanaibuka washindi ,hivi ukiwa na refa anakusaidia kwa kila hali yaani hata ukifunga kumfunga yule anaemsaidia anakwambia umeotea.

Tume ya Uchaguzi ndio inayoibeba CCM ,hakuna asiejua wala kufahamu tokea uchaguzi wa Vyama vingi CCM haijawahi kushinda sehemu yeyote ile hapa Tanzania hususan Zanzibar ,ndio hapo hata wakiweka jibwa basi CCM wataibuka videdea.
 
CCM wakitaka kushinda bila jasho 2015 wawaweke hawa waheshimiwa kama wagombea wao katika ngazi ya Urais, vinginevyo itabidi watumie hela nyingi sana kuupata uongozi tena. Asante

achaneni na ma thread yenu ya kijinga bana,tujadili mambo ya msingi
 
Rasi wa Tanzania atakuwa Membe na makamu atakuwa huyu wa sasa.
 
Nyie mambutwai sana tena wakupindukia ,CCM hata waweke punda au jibwa watashinda ,najua mlichokikosa katika kuchanganua kwenu ni kitu gani hawa MaCCM wanaibuka washindi ,hivi ukiwa na refa anakusaidia kwa kila hali yaani hata ukifunga kumfunga yule anaemsaidia anakwambia umeotea.

Tume ya Uchaguzi ndio inayoibeba CCM ,hakuna asiejua wala kufahamu tokea uchaguzi wa Vyama vingi CCM haijawahi kushinda sehemu yeyote ile hapa Tanzania hususan Zanzibar ,ndio hapo hata wakiweka jibwa basi CCM wataibuka videdea.
Ongezea
1. Uelewa mdogo wa wapiga kura -- wale wajanja hawapigi kura
2. Nyombo vya dola
3. Pesa for takrima - wapiga kura na baadhi ya wagombea wana njaa sana.
 
No No!!! ni DR. HUSSEIN MWINYI (Mgombea Uraisi) na B. MEMBE (MGOMBEA MEZA) full Stop. Mamvi atasubiri sana hata mwenyewe anajua hili

Unatoka pocu utadhani punda anazaa..mgombea meza ni nini?
 
Rais ajaye lazima awe mkristo-mkatoliki haa haa, si unajua mfumo k? Teh teh teh!
 
Membe huyu huy ninayemfahm asiyekuwa na tofauti na jk?hapana huyu nijanga lingine,Lowassa rais ajaye

Hatutaki tena rais muislamu, ni zamu ya mkristo. Membe asubirie zamu ya muislam maana toka ameslimishwa na Ghadafi hajaishiwa vihoja
 
Back
Top Bottom