Lowassa kakuna kipele kisicho na mkunaji

1954tanu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,038
Reaction score
487
Huku kwetu, yaani huku mtaani na kitongojini tunataka katiba mpya ya wananchi inayopiga marufuku viongozi kuwa na akaunti nje ya nchi. Akaunti zinazotuna kila mchina anaposaini mikataba ya uwekezaji nchini; Katiba inayowapa haki wananchi kumwajibisha diwani au mbunge wao kama hawajibiki kwao; katiba inayowapa haki wananchi haki ya kumkataa mbunge wao anayeitikia "NDIYOO!" Hata kwa miswaada hatariishi kwa ustawi wananchi wake.

Tunaka Katiba iliyoainisha tunu za taifa,kuondoa ufisadi,kuzuia polisi kubambikia watu kesi; kujenga uzalendo, utu na uwajibikaji.

Yaani, tunaitaka katiba ambayo CCM waliikataa. Wakaikejeli na kuwadharau wananchi walioipendekeza.

Lowassa katuahidi kutuletea katiba hiyo, yaani, ataturudishia Rasimu ya Pili ya Katiba ya wananchi.

Hatutaki katiba pendekezwa ya CCM inayoruhusu viongozi kuweka fedha zao nje ya nchi.

Yaani, hatuitaki katiba pendekezwa ambayo kwa mara ya kwanza katika historia ya Hijja huko arabuni, iliwafanya mahujaji kuondoa haja na madhumuni ya ibada na kuanza kutumbukiza vikaratasi vya NDIYO au HAPANA kwa katiba pendekezwa.

Hatuitaki katiba pendekezwa ambayo mchakato wa kuipata ulivunja ibada za watu na heshima zao kwa utumishi wa Mungu wao, wakawa wanafiki na waongo.

Lowassa katuahidi kwamba atairejesha rasimu yetu ya pili tuendelee nayo, hatimaye iwe katiba. Katiba ambayo tutakapoishika tutasema, naam, hii ina maoni yetu. Kila mtu atasema katiba hii ni mawazo yangu, nitaitii maadam ni fikra zangu na za mwenzangu hizi.

Hapo tu, Lowassa kakomba kura zetu zooote toka nyumbani kwetu.

Wazanzibari na watanganyika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walio wengi Lowassa kawakuna kipele kisicho na mkunaji.
 
Ahaaaaaa umenichekesha yaan kuwa ukawa raha sana.

Subiri magamba na akiri mgando waje!
 
Huku kwetu,yaani huku mtaani na kitongojini, tunataka katiba mpya ya wananchi inayopiga marufuku viongozi kuwa na akaunti nje ya nchi. Akaunti zinazotuna kila mchina anaposaini mikataba ya uwekezaji nchini; Katiba inayowapa haki wananchi kumwaji diwani au mbunge wao kama hawajibiki kwao; katiba inayopa haki wananchi haki ya kumkataa mbunge wao anayeitikia "NDIYOO!" Hata kwa miswaada hatariishi kwa wananchi wake.

Tunaka Katiba iliyoainisha tunu za taifa,kuondoa ufisadi,kuzuia polisi kubambikia watu kesi; kujenga uzalendo,utu na uwajibikaji.

Yaani,tunaitaka katiba ambayo ccm waliikataa. Wakaikejeli na kuwadharau wananchi walioipendekeza.

LOWASSA katuahidi kutuletea katiba hiyo, yaani, ataturudishia Rasimu ya Pili ya Katiba ya wananchi.

Hatutaki katiba pendekezwa ya CCM inayoruhusu viongozi kuweka fedha zao nje ya nchi. Yaani, hatuitaki katiba pendekezwa ambayo kwa mara ya kwanza katika historia ya Hijja huko arabuni, iliwafanya mahujaji kuondoa haja na madhumuni ya ibada na kuanza kutumbukiza vikaratasi vya NDIYO au HAPANA kwa katiba pendekezwa.

Hatuitaki katiba pendekezwa ambayo mchakato wa kuipata ulivunja ibada za watu na heshima zao kwa utumishi wa Mungu wao, wakawa wanafiki na waongo.

Lowassa katuahidi kwambavatairejesha rasimu yetu ya pili tuendelee nayo, hatimaye iwe katibam. Katiba ambayo tutakapoishika tutasema, naam, hii ina maoni yetu. Kila mtu atasema katiba hii ni mawazo yangu, nitaitii maadam ni fikra zangu na za mwenzangu hizi.

HAPO TU, Lowassa kakomba kura zetu zooote toka nyumbani kwetu.

Wazanzibar na watanganyika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walio wengi Lowassa kawakuna kipele kisicho na mkunaji.

Wazanzibari nao Kipele hicho kipo sehemu gani? Lakini Any away nimegundua Unazungumzia mabadiliko2015.
 
Last edited by a moderator:
Huku kwetu, yaani huku mtaani na kitongojini tunataka katiba mpya ya wananchi inayopiga marufuku viongozi kuwa na akaunti nje ya nchi. Akaunti zinazotuna kila mchina anaposaini mikataba ya uwekezaji nchini; Katiba inayowapa haki wananchi kumwajibisha diwani au mbunge wao kama hawajibiki kwao; katiba inayowapa haki wananchi haki ya kumkataa mbunge wao anayeitikia "NDIYOO!" Hata kwa miswaada hatariishi kwa ustawi wananchi wake.

Tunaka Katiba iliyoainisha tunu za taifa,kuondoa ufisadi,kuzuia polisi kubambikia watu kesi; kujenga uzalendo, utu na uwajibikaji.

Yaani, tunaitaka katiba ambayo CCM waliikataa. Wakaikejeli na kuwadharau wananchi walioipendekeza.

Lowassa katuahidi kutuletea katiba hiyo, yaani, ataturudishia Rasimu ya Pili ya Katiba ya wananchi.

Hatutaki katiba pendekezwa ya CCM inayoruhusu viongozi kuweka fedha zao nje ya nchi.

Yaani, hatuitaki katiba pendekezwa ambayo kwa mara ya kwanza katika historia ya Hijja huko arabuni, iliwafanya mahujaji kuondoa haja na madhumuni ya ibada na kuanza kutumbukiza vikaratasi vya NDIYO au HAPANA kwa katiba pendekezwa.

Hatuitaki katiba pendekezwa ambayo mchakato wa kuipata ulivunja ibada za watu na heshima zao kwa utumishi wa Mungu wao, wakawa wanafiki na waongo.

Lowassa katuahidi kwamba atairejesha rasimu yetu ya pili tuendelee nayo, hatimaye iwe katiba. Katiba ambayo tutakapoishika tutasema, naam, hii ina maoni yetu. Kila mtu atasema katiba hii ni mawazo yangu, nitaitii maadam ni fikra zangu na za mwenzangu hizi.

Hapo tu, Lowassa kakomba kura zetu zooote toka nyumbani kwetu.

Wazanzibari na watanganyika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walio wengi Lowassa kawakuna kipele kisicho na mkunaji.

Usije ukawa ulimpa hicho kipele akakikuna kweli???? Maana Mmhhhhhhh ............
 
Back
Top Bottom