kitendo alichokifanya lowasa kuonyesha bashasha na watu wanaokamata wabunge wa chama chako Lema yupo ndani,mwalimu kakamatwa,lisu anakesi kibao,sugu alikamatwa unaipataje furaha ya kuhag na kinana,kujichekesha mbele ya raisi. even president alishangaa yote ninayowafanyia lakini hajastuka is a miracle.
Lowasa aangaliwe asije akawa usalama akatuchora tu kumbe anadisplay upande wa pili,tahadhari muhmu kwa kuzingatia aliyoyafanya bwana Augustine mrema
watu tunajiandaa na Ukuta wewe unajichekesha na wstu ambao tarehe moja huenda wakatuvunja viuno km si kutufunga bila kesi
Alikuwa anasmile kwa sababu amegundua kwamba IT IS EASIER TO SMILE THAN TO TELL WHY YOU ARE SAD. Siku hizi anachagua mambo rahisi hataki tena kufanya mambo magumu.
lowasa katika mazingira haya smile kwa kinana na magufuli inatoka wapi, it raises more doubt. tusije kusacrife for nothing "km unatraitor#