Lowassa kaibadili CHADEMA yangu!

Lowassa kaibadili CHADEMA yangu!

erick13

Senior Member
Joined
Aug 20, 2009
Posts
163
Reaction score
59
Habari wanajamvi. Napenda nianze na kusema Toka mh Lowassa kajiunga na CHADEMA mambo mengi sana yamebadilika...

Chadema ya leo hawatukani tena matusi wala kuleta vurugu kama mwanzo na badala yake wao ndio wanatukanwa na chama tawala matusi mbali mbali ikiwa ni pamoja na ya nguoni.

Chadema ya leo hawafanyi fujo hata pale haki zao zinapo kandamizwa na chama tawala.

Chadema sio chama cha kushutumu watu na kutumia ufisadi na rushwa kama ndio ilani au agenda yao kuu.

Aksante Mh Ngoyai na hii ni chadema niliyo iotaaa..
 
Fisadiiii
 
Mlungula huo hapo kwenye bahasha ya khaki
 
Attachments

  • 1441483578156.jpg
    1441483578156.jpg
    123.2 KB · Views: 357
Habari wanajamvi. Napenda nianze na kusema Toka mh Lowassa kajiunga na CHADEMA mambo mengi sana yamebadilika...

Chadema ya leo hawatukani tena matusi wala kuleta vurugu kama mwanzo na badala yake wao ndio wanatukanwa na chama tawala matusi mbali mbali ikiwa ni pamoja na ya nguoni.

Chadema ya leo hawafanyi fujo hata pale haki zao zinapo kandamizwa na chama tawala.

Chadema sio chama cha kushutumu watu na kutumia ufisadi na rushwa kama ndio ilani au agenda yao kuu.

Aksante Mh Ngoyai na hii ni chadema niliyo iotaaa..

Cdm ndio wanajiandaa kuingia ikulu,hivyo hizo zote ni dalili za maandalizi ya kushika dola
 
TCRA mko wapi? au sheria yenu haina meno?

Acha upuuzi ndugu yangu huyo ukawa mwenzio hapo juu humuoni au nikuwashwa kwa mahaba yenu kumezidi! Pelekeni upopobawa wenu hiko huko!
 
Achen jazba jmn tujenge hoja.siasa isifany tushindwe kujenga taifa tukiwa vyama tofaut
 
Asante,lkn kazi takukuru unaijua?nenda kawaambie

Takukuru inaanza na ww kichwani kwako! Ukiwa mtu wa kuona maovu na kutaunga mkono ndio tuna tengeneza na kukomaza mafisadi pia haukuishia hapo ukaniongezea na lugha ya mkapa inayo wahusu wanao husika wakati mm sikumbatii ubazazi! Lala salama HAPA KAZI TU
 
Lowasaaaaaaaaaaaaa
 
....................
 
Attachments

  • 1441488676961.jpg
    1441488676961.jpg
    48.9 KB · Views: 107
Kenge wewe acha uongo,unafikiri watu ni mbululula kama wewe,hao ni watu wawili tofauti,na tinawafahamu

Ndugu yangu umejaaliwa matusi mpaka raha! Una reflect wenzio kuwa ni wapumbavu kama ww na hii nchi haiongozwi kiivyo! Leo kisarawe mmemnadi nani!? Aisee mna furahisha sana! Lofa punguani mkuu
 
Watanzania wamezinduka balaaa nyimbo na ahadi hawataki tena
 
Back
Top Bottom