Tanzaniaist
Senior Member
- Nov 29, 2011
- 161
- 158
Alifanyie kaz hili
Upepo sio Mzuri Mh.Lowassa, inawezekana adui yako hujamsoma vizuri..,sasa ni muda wa kutumia silaha zote, hakuna mtu yeyote wa kumuamini sasa! tumia mbinu mbadala za kisiasa la sivyo adui zako watakumaliza na wanafiki watakuhujumu (wapambe)...! ITS TIME TO FIGHT..Sasa ni muda wa kuongelea ukweli kuhusu suala la Richmond, na ni muda watanzania wajue ukweli, Kwenye siasa hakuna URAFIKI wala USWAHIBA..! Unahujumiwa na Unamalizwa na wakishamalizia kukumaliza kisiasa wanahamia kwenye Biashara zako! Politics its a dirty game..Kama jana CCM kilitangaza kwa madaha kushindwa kwa uchaguzi Arumeru, Kwakweli Sasa ni muda wa Kufanya maamuzi magumu,
Tumia sana UZOEFU WAKO na sio PESA, kuwa karibu sana na wananchi wako wa MONDULI kwani ndio wamekuwa na wewe wakati wa shida na raha, Achana na Viongozi wa Dini wenye tamaa bali UKWELI ndio utakaokusafisha, THE TRUTH WILL SENT U FREE, AND IT WILL BE A VESSEL TO DESTROY YOUR ENEMIES[/QUOT
ukiishi kwa upanga, utakufa kwa upanga pia. alizonazo si akili ni matope. ukimpa mtu 3bn afungue biashara anakuwa tajiri zaidi ya huo ubunge. Pia matendo aliyowafanyia watu, anayowafanyia sasa na atakayowafanyia ndiyo jeneza lake. Huyu mtu ana roho mbaya sana duniani kuliko ya Lusifer. Wewe muone tu katika TV ni Mbaya kuliko unavyomuona, ana kinyongo ambacho akikuwekea atahakikisha unafutika duniani ndo aridhike. Hafai

Tumia sana UZOEFU WAKO na sio PESA, kuwa karibu sana na wananchi wako wa MONDULI kwani ndio wamekuwa na wewe wakati wa shida na raha, Achana na Viongozi wa Dini wenye tamaa bali UKWELI ndio utakaokusafisha, THE TRUTH WILL SENT U FREE, AND IT WILL BE A VESSEL TO DESTROY YOUR ENEMIES

Kama hivyo ndivyo alivyo basi ngoma yao hiyo watacheza vizuri na rafikiye ambaye hawakukutana barabarani mkweree!! Kama hajatambua mpaka sasa kuwa huyu mkweree anamuua taratibu atakuwa ni mgonjwa wa akili!
Naamini ulimaanisha WILL SET YOU FREETumia sana UZOEFU WAKO na sio PESA, kuwa karibu sana na wananchi wako wa MONDULI kwani ndio wamekuwa na wewe wakati wa shida na raha, Achana na Viongozi wa Dini wenye tamaa bali UKWELI ndio utakaokusafisha, THE TRUTH WILL SENT U FREE, AND IT WILL BE A VESSEL TO DESTROY YOUR ENEMIES
Upepo sio Mzuri Mh.Lowassa, inawezekana adui yako hujamsoma vizuri..,sasa ni muda wa kutumia silaha zote, hakuna mtu yeyote wa kumuamini sasa! tumia mbinu mbadala za kisiasa la sivyo adui zako watakumaliza na wanafiki watakuhujumu (wapambe)...! ITS TIME TO FIGHT..Sasa ni muda wa kuongelea ukweli kuhusu suala la Richmond, na ni muda watanzania wajue ukweli, Kwenye siasa hakuna URAFIKI wala USWAHIBA..! Unahujumiwa na Unamalizwa na wakishamalizia kukumaliza kisiasa wanahamia kwenye Biashara zako! Politics its a dirty game..Kama jana CCM kilitangaza kwa madaha kushindwa kwa uchaguzi Arumeru, Kwakweli Sasa ni muda wa Kufanya maamuzi magumu,
Tumia sana UZOEFU WAKO na sio PESA, kuwa karibu sana na wananchi wako wa MONDULI kwani ndio wamekuwa na wewe wakati wa shida na raha, Achana na Viongozi wa Dini wenye tamaa bali UKWELI ndio utakaokusafisha, THE TRUTH WILL SENT U FREE, AND IT WILL BE A VESSEL TO DESTROY YOUR ENEMIES
Wakuu inaelekea mimi nina allergy na EL, akiongelewa tu napata kichefuchefu kikifuatia kutapika, kutoa ushuzi na kuharisha.
upepo sio mzuri mh.lowassa, inawezekana adui yako hujamsoma vizuri..,sasa ni muda wa kutumia silaha zote, hakuna mtu yeyote wa kumuamini sasa! Tumia mbinu mbadala za kisiasa la sivyo adui zako watakumaliza na wanafiki watakuhujumu (wapambe)...! Its time to fight..sasa ni muda wa kuongelea ukweli kuhusu suala la richmond, na ni muda watanzania wajue ukweli, kwenye siasa hakuna urafiki wala uswahiba..! Unahujumiwa na unamalizwa na wakishamalizia kukumaliza kisiasa wanahamia kwenye biashara zako! Politics its a dirty game..kama jana ccm kilitangaza kwa madaha kushindwa kwa uchaguzi arumeru, kwakweli sasa ni muda wa kufanya maamuzi magumu,
tumia sana uzoefu wako na sio pesa, kuwa karibu sana na wananchi wako wa monduli kwani ndio wamekuwa na wewe wakati wa shida na raha, achana na viongozi wa dini wenye tamaa bali ukweli ndio utakaokusafisha, the truth will sent u free, and it will be a vessel to destroy your enemies